and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,513
- 40,354
Pongezi kwa kubuni Tamasha tajwa. Mmeanza Dodoma, Dar, Mtwara mikindani pengine na Zanzibar mpaka Arusha. Swali langu je tamasha hili walengwa wakuu ni kina nani? WATALII toka nje ya nchi? Wananchi wanyonge au wote kwa pamoja?