kingMsuya
Member
- Nov 22, 2018
- 10
- 2
kutana na mwanasaikolojia akueleze vizuri juu ya Ndoto Dr, Nkwabi Sabasaba
Asilimia 90 zandoto tunazoota ndio mambo ynaokuja kuwa halisi watu wengi huota na badae hujaribu kuweka katika uhalisia Ndoto ni nzuri. Hata kanuni nyingi za mahesabu watu walikuwa wanaota Ndoto na Badae wanakuja kufanya jambo likawa halisi hata ATM ni mtu aliota na badae leo hii tunaona uhalisia. wako watu waanaota Mtu kafa na baada ya siku kadhaa unasikia mtu kafariki kweli mtu anaota kaolewa