Who is Enya

Who is Enya

Khalifavinnie

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2017
Posts
2,850
Reaction score
2,444
2f24fe32e1062da90d5167b8ecc525c6.jpg

Kama picha na title inavyojieleza nyimbo za huyu mama ni za aina gani?

Ama yupo katika kundi lipi? Ni za msiba? Mimi huwa nazigwaya sana nahisi za mizimuni zimekaa kutishatisha na za kiajabu. Kwa mfano ukiwa mpweke umelala na ukazisikiliza nyimbo zake unaweza hisi upo peponi.
 
She is a Celtic Musician.....
Ameimba wimbo maarufu unaitwa Adiemus wenye mahadhi ya kiafrikaa......Album yake ya Watermark ndiyo imetisha sanaaaaa.

Japo ni kweli huu Music wa Celtic wanasema ni yale mavituzi ya New Age. Yalikuwa yanatumika kwenye kufanya mauguzi miaka ya nyuma.

Kuna kundi jingine wanajiita Cafe Del Mal nao wanaaimba hizi manyimboz, ukisikiliza ni nzuri balaa lakini ukielewa lugha ya picha inayotumika unaweza ogopa kabisaa.....

Nimemsikiliza sana hadi mwaka 2005,
Baadae nikaachana naye na CD zake zipo kama mapambo tu ndani......

But usiogope,
Music is just music my friend......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna raha sana ukisikiliza miziki ya aina tofauti tofauti, unajifunza vingi sana. Me naupenda sana wimbo wake mmoja unaoitwa Anywhere Is.
 
Nyimbo zake tamu sana.
Ila siyo mwandishi wala composer wa nyimbo zote kama mfano now we are free kau compose na hans zimmer huyu naye mtafte kaimba na kutunga nyimbo nyingi za celtic unazozifahamu mfano ule umetumika kwenye tangazo la aids lile mtoto anabatizwa kanisani.
Kuna Lisa Gerald yani wanajua sana
 
Ninapenda sana aina yake ya uimbaji na namna ala zilivyopangiliwa.

Ingawa vituo vyetu vya utangazaji hawatoi nafasi ya aina hii ya music kusikika kwenye vyombo vyao. Siyo Enya pekee bali hata muziki wa Opera umekuwa adimu sana na endapo ukisikiliza aina hiyo ya muziki unaruhusu saikolojia yako kuwa kwenye kiwango cha juu cha hisia (feelings)

Kwa mliowahi kuangalia mfululizo wa filamu za Lord of The Rings, Muziki wa Enya ulitawahi kutumika kama soundtrack ya filamu hizo
 
She is a Celtic Musician.....
Ameimba wimbo maarufu unaitwa Adiemus wenye mahadhi ya kiafrikaa......Album yake ya Watermark ndiyo imetisha sanaaaaa.

Japo ni kweli huu Music wa Celtic wanasema ni yale mavituzi ya New Age. Yalikuwa yanatumika kwenye kufanya mauguzi miaka ya nyuma.

Kuna kundi jingine wanajiita Cafe Del Mal nao wanaaimba hizi manyimboz, ukisikiliza ni nzuri balaa lakini ukielewa lugha ya picha inayotumika unaweza ogopa kabisaa.....

Nimemsikiliza sana hadi mwaka 2005,
Baadae nikaachana naye na CD zake zipo kama mapambo tu ndani......

But usiogope,
Music is just music my friend......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata huo wa mahadhi ya kiafrika kaucompose hans zimmer na ule wa now we are free uliotumika kwenye movie ya gladiator ni hans zimmer.
Nyimbo za enya zina touch heart and soul wanapenda zitumia kwenye movie zenye plot za kizamani
 
Kuna moja ya enya inaitwa wild child kiboko duuh...kweli kuna nyimbo tamu adim.
 
Umetishika sababu nyimbo zake unazisikia kipindi cha bango!?,nazipenda sana nyimbo zake aisee
mm pia nampenda sana huyu mama, napenda kusikiliza nyimbo zake nikiwa nimerelax home au nikiwa safarini...
 
Hata huo wa mahadhi ya kiafrika kaucompose hans zimmer na ule wa now we are free uliotumika kwenye movie ya gladiator ni hans zimmer.
Nyimbo za enya zina touch heart and soul wanapenda zitumia kwenye movie zenye plot za kizamani
Mkuu
Muandaaji siyo Hans Zimmer.
Ameandaa mkali wao bwana Karl Pam Jenkins.
Yeye ndiyo aliwatafuta waafrika wakaimba ile makitu na kuchanganyia na Celtic. Ni wa kitambo kidogo maana umeanza kusikika tangia mwaka 1990's ndiyo wakina Enya wakaurudia kwenye The Watermark.
 
Kweli mkuu asante kwa kunisahihisha.
Na kuna yule mwingine anaitwa sijui nani hornet naye yuko vizuri
 
Kweli mkuu asante kwa kunisahihisha.
Na kuna yule mwingine anaitwa sijui nani hornet naye yuko vizuri
Tuko pamoja mkuu.
Jamer Horner alikuwa vizuri sana.
Siku hizi anayenifurahisha ni Christopher Tin.
Hii soundtrack imetumika kwenye Game ya Civilization...........

Cc: Consigliere , reg giant
 
Old iz gold.....daah kwa sasa nimemfaam maana nilikua nakutana na nyimbo zake mara chache sana kwanza huwa hazipigwi redioni ni nadra sana.
 
Ile sound track ya lord of the ring may it be kaimba yeye. Moja ya wasanii waliovuma sana kutoka Ireland
Yah kaimba yeye naipenda sana ile may it be kuna na ile once you had gold na ile only time.
Halafu kuna ile sound track ya gladiator inaitwa now we are free.
Nyimbo tamu sana hizi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom