ZARAU MWIKO

ZARAU MWIKO

ryana fan

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2018
Posts
2,632
Reaction score
3,063
Igweeeee....wana Great thinkers.....!!!

Baada ya salamu. Nijikite moja kwa moja kwenye Mada tajwa hapo juu.

Ndugu, vijana wa kiume usiruhusu binti ama mwanamke akuzarau aisee utapata tabu Sana. Tena nasema utapata tabu Sana. Haizalishi una pesa ama huna pesa Tena Kama huna ndiyo inakuwa balaa.

Nawasilisha.
 
Vp mkuu, amekukuta na kibamia nn....? Naona kaanza kukuletea dharau.
 
Hahahahaha! Kwa uandishi huo bora ungeandika kilugha chako tu
 
Back
Top Bottom