Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 2,546
- 2,989
Wanajamvi natumai mkopoa
NI wiki 3 sasa. Toka vyuo vikuu vifunguliwe majina ya wanufaika wa mkopo tayari baadhi yamefikishwa na wengine tayari wameshapokea mkopo lakin Cha kushangaza Kuna asilimia kubwa ya wanafunzi kutoka vyuo tofauti hawajapokea fedha zao Wala majina yao hayajaoneka kabisaa,bila ya kuletwa taarifa yoyote ile vyuoni then tunamuona waziri wa elimu Prof Ndalichako akiongelea swala la udanganyifu kwa wanafunzi wanufaika wa mkopo hi Ina maana gani?je mnataka kutuaminisha kuwa waliokosa mkopo ni wadanganyifu au mpo kwenye kupitia mchakato wa kutuibisha majina?
Tafadhali Sana helsb jaribuni kutenda haki kwa kila mtu pesa zifikishwe kwa wakati kwa kila mnufaika na isiwe Kama ilivyosasa as you know maisha ya sasa ni magumu mno je mnataka mtoto wa mkulima akajiuze?je mnataka mtoto wa mvuvi ajiingize kwenye kazi za unyang'anyi?
Ifike wakati tuwajibike kwa makosa ambayo tunayatengeneza wenyewe.