Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,502
- 8,690
"Naondoka miye nimeleta chuma hiki" "mlisema miye mpole sasa nimemleta mkali kidogo "
No wanasoma wote,hata wao ni zamu ya mgawa namba,we uoni daily kila siku ni Sheria za kudhibiti watuWacha namba zisomeke eeh![emoji446][emoji446][emoji446][emoji446]
Ndo zinasomeka ndani ya mipaka yetu.No wanasoma wote,hata wao ni zamu ya mgawa namba,we uoni daily kila siku ni Sheria za kudhibiti watu