Ibanda1
JF-Expert Member
- Jul 18, 2015
- 728
- 1,140
Habari wanajamvi
Ilikua ufahari sana kufanya kazi kwenye taasisi za fedha ila yawezekana hata sasa wengi bado wanaamini hivo, binafsi nilikua nawaona hawa watu ni wa daraja la juu kabisa na wanaoheshimika wenye maisha poa sana najisamehe bure nilielewa vibaya
Wandugu hali ni tete bank officers hawana tofauti na wanaobeti ususani wanaofanya kazi hizi bank za kigeni ni majanga mishahara midogo kulinganisha na majukumu aliyonayo,manyanyaso kazini ndo usiseme kutoka kwa managers wa tawi husika,juzi nikiwa hapa mjini kwa mr II nilipata nafasi kutembelea tawi moja la bank inayodhamini league pendwa uingereza nilikuta jamaa anafokewa na manager wake mbele ya wateja niliuona uso uliofedheheka licha ya tai yake na shati maridadi nahisi alijiona mtupu, yote tisa kumi kuna wimbi la timua timua huko hakufai.
Hawa jamaa wameweka sheria/miiko yao wao huita CONTROLS/PROCEDURES mzee baba vijana wanatimuliwa kama kuku huko nilichogundua sio kwamba wanashindwa ku comply la hasha ila kuna knowledge gap kwenye hiyo miiko ambayo husababishwa na mwajiri kwa kutopeleka watu mafunzoni kea kuhofia gharama(cost cutting) imagine mtu anafanya kazi miaka kumi leo anafukuzwa kazi kisa kapitia mlango wa mbele.