Mworombo01
Senior Member
- Nov 9, 2016
- 113
- 82
Nimejikuta nawaza sana mambo yanvyokwenda hapa nchini maana kila leo kuna jipya, kila sekta inamulikwa hata zile ambazo huenda hazina tija kubwa sana.
Wasiwasi wangu huenda KODI YA KICHWA IKARUDISHWA kwa nguvu zote ili hapa kazi itimie.
Tujiandae kukimbizana kama mwanzo
Wasiwasi wangu huenda KODI YA KICHWA IKARUDISHWA kwa nguvu zote ili hapa kazi itimie.
Tujiandae kukimbizana kama mwanzo