Kazi pasi na tija

Kazi pasi na tija

ilogelo

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
749
Reaction score
727
Ninashindwa kupata maneno mazuri ya kutumia ili kumaanisha majonzi, kilio na masikitiko yangu. Kwa kweli inaudhi, inakera na inaumiza.

Kwamba kwa miaka kadhaa sasa nilitafuta namna ya kukabiriana na ugumu wa maisha kwa kujihusisha na kilimo. Siyo siri, mwanzoni niliona nuru ya mafanikio japo kwa mbali ikijongea. Hii ilinipa hamasa ya kuimarisha zaidi shughuli zangu na hivyo kuanza kukubaliana na kauli kwamba kama mnataka mali mtayapata shambani.

Sijui ni laana gani iliyotukumba gahafla, huenda ni kweli kwamba Watanzania tulio wengi tuna ngekewa ya umaskini. Hivyo kila jitihada yetu lazima ikumbane na vikwazo tena vya kutengeneza ama kulazimiahiwa.

Ghafla soko letu likafungwa na hivyo kutulazimisha kupata hasara. Ajabu na kweli gunia la mahindi ni 20,000 - 30,000! Halafu kuna watu eti wameajiriwa kushughulikia changamoto zetu. Kwa msingi huu ninaamini sitakosea nikisema tu wajinga wa kutupwa. Haiingii akilini watu na vyeo vyao wanajua gharama za uzalishaji lakini ndio wanaolazimisha tuuze kwa bei za kijinga.

Inaumiza sana, lakini kwa kuwa sisi ni wanyonge hatuna la kuwafanya. Na kodi tutawapa ili mle mpate nguvu za kutoa matamko ya kijinga yanayotuumiza sisi walalahoi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulichokiandika ni ukweli mtupu! Hata mtu ambae si mkulima akiambiwa gunia LA mahindi ni sh.40,000 lazima atajiuliza huyu mkulima anapata faida!!?
Halafu eti tuna viongozi wanaojigamba kuwa ni wqtetezi wetu (wanyonge)!

Unakuta mtu kqjitahidi kujianzishia kimradi, lakini badala ya kupata support kama raia wa nchi hii ndo kwanza utakutana na vikwazo lukuki! Hadi ufilisike!!

Hivi...unamzuiaje mtu asiuze nje mahindi aliolima mwenyewe kwa ajili ya biashara!!?
Lengo ni nn!??

Hakuna namna tupambane na hali zetu"

Sadam huseni
Wa Kuwait!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole kwa yanayokupata wewe na wakulima wengine nchini.
Hebu tujiulize.
Kwanini Bukoba wanauza kahawa Uganda ??????
Kwani wapemba hawaruhusiwi kuuza karafuu kwenye doko huria ??????
Kwanini mbaazi zinaozea mashambani ?????
Kwanini wakulima wa mahindi hawajauza ya msimu uliopita ilhali Wazambia wanakufa njaa????
Kwanini watu hususan vijana wa ke na me wametoroka vijijini na woote wamekuja mijini kua machinga Kariakoo. Buguruni. Mbagala. Mbezi mwisho etc hivi mnafikiri kusema wamachinga wasibughuthiwe ni suluhisho. ??? That is a very temporary solution. Solution ni kuwafanya wsrithike kukaa vijijini. Na mtu akidhsonja utamu wa kula mlo mmoja kwa siku mjini. Kijijini harudi tena.
Solution ni nini ??
Kwanza kabisa nianze na hizi crop marketing boards....kama chama cha kahawa Bukoba na Moshi na Mara
 
Mkuu hilo jina lako limenikumbusha mbali sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu kakaa ofisini, gari na nyumba za kifahari na viyoyozi juu. Atajua aje yananayomkuta mkulima, atajali nini kama mkulima hana sehemu ya kuuza mazao yake? Yeye ana kila kitu ati!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole kwa yanayokupata wewe na wakulima wengine nchini.
Hebu tujiulize.
Kwanini Bukoba wanauza kahawa Uganda ??????
Kwani wapemba hawaruhusiwi kuuza karafuu kwenye doko huria ??????
Kwanini mbaazi zinaozea mashambani ?????
Kwanini wakulima wa mahindi hawajauza ya msimu uliopita ilhali Wazambia wanakufa njaa????
Kwanini watu hususan vijana wa ke na me wametoroka vijijini na woote wamekuja mijini kua machinga Kariakoo. Buguruni. Mbagala. Mbezi mwisho etc hivi mnafikiri kusema wamachinga wasibughuthiwe ni suluhisho. ??? That is a very temporary solution. Solution ni kuwafanya wsrithike kukaa vijijini. Na mtu akidhsonja utamu wa kula mlo mmoja kwa siku mjini. Kijijini harudi tena.
Solution ni nini ??
Kwanza kabisa nianze na hizi crop marketing boards....kama chama cha kahawa Bukoba na Moshi na Mara
Eti mipaka imefunguliwa!!!!!
 
Back
Top Bottom