Ndugu zangu, walau naombeni msaada walau wa mawazo. Nina rafiki yangu ambaye kwakweli tunaishi kwa misingi yote ya kidugu.
Kwa bahati mbaya, alipata Msiba wa MAMA YAKE miezi tisa iliyopita, na...
Ivi kutokwa sana kwa jasho kwapani kiasi kushindwa kuvaa T-shirt nyeupe,mashati meupe nk,je ni tumie nini? Naoga mara mbili kwa siku, nanyoa kwapa na kuliweka safi muda wote, lakini bado tatizo...
NAIBU Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Faustine Ndugulile ameitaka Bohari ya Dawa (MSD) kuhakikisha inasambaza dawa kwa wakati, ili kuepusha tatizo la dawa kuisha...
Zaidi ya wafanyakazi 85 wa chuo kikuu cha Mount Meru kilichopo Mkoani Arusha,wakiwemo wakufunzi wa chuo hicho wameandamana wakiwa na mabango kwa waziri wa nchi ofisi ya waziri Mkuu,Sera bunge afya...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imewafikisha mahakamani Ofisa Mazingira na Taka Ngumu, Wilaya ya Rombo, Mathias Gungumka na mwakilishi wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA)...
Yapo maeneo ambapo barabara ni kizungumkuti na matukio ya ajali ya vifo yamekuwa ya kawaida kabisaaa.
Hizi hapa barabara 5 hatari zaidi duniani.
NAMBA 5
Barabara ya Guoliang kutoka nchini China...
The governments of Tanzania and China have signed a Memorandum of Understanding (MoU) in which the latter has committed funds amounting to Sh22.4 billion for construction of the Kagera Regional...
Sitasahau maishani mwangu, ilikuwa ni mwaka 2011 niliposafiri na mke wangu pamoja na mwanangu kwenda nyumbani kijijini kusalimia.
Wakati huo mwanangu alikuwa na umri wa mwaka mmoja tu,baada ya...
Habar za mud huu Jf.
Maara baada ya kufanya research yangu takriban miaka 4 sasa nimekundua na kujiridhisha majibi ya mambo makuu 3 kwa hapa duniani ambavyo mbaali na shughuli tofaut tofaut za...
Madereva wa daladala, Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera wamegoma kusafirisha abiria baada ya kupandishiwa gharama za maegesho.
Wasafiri kwenda maeneo mbalimbali mkoani humo wameshindwa kusafiri...
Polisi mkoani Tanga limewaua watu watatu wanaodaiwa kuwa majambazi .Tukio hilo limetokea leo asubuhi Jumapili Novemba 25, 2018 katika majibizano ya kurushiana risasi mtaa wa Ngwaru Kanisani kata...
Ni jambo la ajabu,unatoa kibali tamasha lifanyike,clouds wanaingia mikataba ya mamia ya mamilioni,halafu unafuta tamasha
Hii ni kesi ya wazi kabisa clouds wanashinda,nawashauri waishtaki Manispaa...
Natarajia kuanzisha kiwanda cha kuchakata matairi chakavu na kutumia malighafi itokanayo kutengeneza bidhaa mbali mbali kama rubber carpets na nyingine nyingi ambazo ni siri ya kibiashara kwa...
Wahenga walisema:-
"Ukistaajabu ya Musa,Utayaona ya Firauni".
Katika kijiji cha Chamwino- Dodoma miaka ya 1970, jamaa mmoja alikuwa na familia ya mke (aliyekuwa mjamzito) na mtoto wake wa kwanza...
Unene unapofika stage flani unakua too much jaman.
Hasa kwa wanaume wenzangu. Lets all try to maintain our health asee maana unaweza jikuta unaambiwa mama shkamoo
everhurt
UPDATE
USHAURI FROM...
Naomba nisema mpaka sasa muda umethibitisha kuwa gazeti hili halipaswi kulaumiwa kwa yale ambayo wamekuwa wakityaandika kumuhusu bwana mkubwa.
Ni wakati wako pia bwana Pascal
( wewe na watu...
Kwanza nimefurahishwa karibu wiki nzima jinsi gazeti la Nipashe walivyoripoti habari ya mafao ya watumishi wanaostaafu.
Tuwe na moyo wa kukosoa mabaya na kupongeza kwa yale mazuri. Hakika gazeti...
Hey guys is it true that the draught is the best criteria for measuring the intellectual quotient of a person?
And if that is the case ,then why most of the experts of draught are old people...
Nawasikia tu mnavyo I promote st.Marys.. Nyie hamna watoto wanaosoma hapo.sisi wazazi ndiyo tunaona madhila na shiza za sy.Mary's.
1. Usafiri ni mbovu..hawana magari ya kutosha..mabovu na mengi...
Tafadhara Mod usiunganishe post hii.
Habari,
Mwaka huu toka Januari kumekuwa na migomo na mapambano ya kimaslahi kati ya Bajaji na Wafanya biashara wa daladala(madereva) hii imepelekea hata...