mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Unene unapofika stage flani unakua too much jaman.
Hasa kwa wanaume wenzangu. Lets all try to maintain our health asee maana unaweza jikuta unaambiwa mama shkamoo
everhurt
UPDATE
USHAURI FROM KikulachoChako
Vijana wengi wa sasa wanaona fahari kuwa na vitambi.....wanadhani kitambi ni moja ya alama ya mafanikio.....
Wakati kitambi ni dalili ya maradhi yanayongoja kufumuka kama bomu lililotegwa ardhini.......
Kijana chunga sana afya yako.....ili upate kuufurahia uzee wako.....
Maradhi mengi yanayowakabili wazee ni kutokana na mifumo ya maisha waliyokuwa wakiishi kipindi wako vijana.....
Chukua maamuzi sasa
Badilika sasa.....