Naombeni ushauri wandugu!!!

Naombeni ushauri wandugu!!!

mumagoma

Senior Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
186
Reaction score
95
Ivi kutokwa sana kwa jasho kwapani kiasi kushindwa kuvaa T-shirt nyeupe,mashati meupe nk,je ni tumie nini? Naoga mara mbili kwa siku, nanyoa kwapa na kuliweka safi muda wote, lakini bado tatizo lipo!!!

Nitumie nini kuzuia tatizo ndugu zangu,? Naomba ushauri
 
Fanya sana mazoezi ya kukimbia.

Pia ongeza kiwango cha maji unachokunywa.

Halafu anza kuishi cool lifestyle
 
Mungu akusamehe tuu mana wenzako tunanyoa nywele za kwapa, we unanyoa kwapa.!
 
Back
Top Bottom