Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

hebu tujaribu kukifanyia mazoezi kiswahili chetu kwa kuandika sentensi fupi ikianza na :- uzoefu unaonesha.................…. uzoefu unaonesha kila kiongozi anayeunga mkono juhudi za mzee wetu...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
wanabodi, Ni muda sasa serikali yetu imekuwa ikitumia gharama kubwa sana kuwasaka,kuwakamata na kuwahifadhi wahamiaji haramu kutoka nchini Ethiopia,eritrea na somalia wanaoingia nchini bila...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Ukweli lazima usemwe, nami huwa siogopi kusema ukweli. Haijalishi ulijiunga chama cha wafanyakazi awamu ipi ila kwa miaka hii 3 vyama hivi havina meno na havitakuwa na meno mpaka bwashehe amalize...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimekuwa nikitafakari njia mbadala kwa ajira za vijana wanaohitimu vyuo mbalimbali kuanzia vile vya vyeti, astashahada na shahada ni wakati muafaka wa kuachana na mfumo wa sasa wa serikali kuandaa...
5 Reactions
33 Replies
3K Views
Unaweza kufikiri umewahi kuona vitu vya ajabu, vingine vikiwa katika picha zilizotengenezwa makusudi kwa kompyuta. Lakini picha zifuatazo zilipigwa kabla ya ujanja wa kutumia kompyuta kwa njia ya...
0 Reactions
16 Replies
11K Views
Jeshi la Polisi Wilayani Kiteto, mkoani Manyara, linawashikilia watu 10 wanaodaiwa kuwa wahamiaji haramu kutoka nchini Ethiopia na Somalia, na Wanzania watatu wakiwa na tunguri saba ili ziwasaidie...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa kamusi yetu ya kiswahili Zeruzeru ni mtu ambaye nywele na ngozi yake imekosa rangi yake kamili na badala yake kuwa nyeupe sana na ambaye macho yake hayawezi kuvumilia mwangaza...
4 Reactions
40 Replies
6K Views
Heshima kwenu wakuu.. Naamini mara kwa mara umewahi kuambiwa maneno kama vile "Nakutakia usiku mwema" 'Nakuombea safari njema' 'Kila la kheri' "Asubuhi njema" n.k. yote kwa lengo la kukutakia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
WanaJF, salaam! Kutokana na historia ya watumishi na wafanyakazi nchini kupitia katika nyakati mbalimbali za mateso yasiyozungumzika kwa baadhi ya waajiriwa huku TUCTA ikishuhudia bila kuchukuwa...
0 Reactions
0 Replies
973 Views
Furaha Masumbuko(14) amesimulia jinsi alivyopigwa na mwajiri wake, Ally Mbela na kupata maumivu sehemu mbalimbali mwilini akidaiwa kuchelewa kurejea nyumbani. Akizungumza na MCL Digital leo...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Kwa nini USA inaitwa Marekani, au Egypt inaitwa Misri.au France inaitwa Ufaransa? Wenyewe wanajua haya majina ya nchi yao yanayotumika huku? Kwa nini majina ya nchi zingine yanabaki hivyo hivyo...
6 Reactions
58 Replies
10K Views
1.Bila shaka chombo chenu ni chombo cha kutoa huduma kwa umma. 2. Bila shaka uwepo wenu ni kwa sababu kuna umma 3. Na kwa kuwa huko nyuma mmewahi kuchukua initiative ya kwenda mahakamani...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nimefanya utafiti wangu hawa vijana wanawaumiza sana watanzania,ukiwa huna kitambulisho unashangaa unapewa LAINI ambayo imeshasajiliwa.Hili jambo likanistuwa ikabidi niingie chimbo kufuatilia...
9 Reactions
102 Replies
11K Views
Nmeumia kuona Askari aliyekula kiapo cha kulinda raia na mali zao,leo hii raia wanapata ajali na kuungua yeye hayupo tayar kuuzima moto anaishia kuchukua video na kurusha mitandaoni! Nadhan...
2 Reactions
59 Replies
8K Views
Amani ya Mwenyezi Mungu aliyeumba Wanadamu wote iwe juu ya kila asomae na kuchangia Mada hii! Kufuatia sakata la Wachimba visima kutakiwa wajisalimishe na kwenda kulipia tozo husika hali ambayo...
4 Reactions
36 Replies
4K Views
Namaanisha kwa wale tunaoangalia movie na videos online. Wajuvi tafadhali
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Polisi mkoani Manyara inamtafuta, Peter Baraka Mollel mkazi wa Nyunguu, Mjini Babati kwa tuhuma za kumuua kwa kumnyonga hadi kufa mke wake, Josephine Evarest akiwa usingizini Baada ya kufanya...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Hivi ukijaribu kuziba riziki ya mtu, nini kitatokea baada ya hapo? Maana wengi wanasema ni vigumu kuziba riziki ya mtu.
1 Reactions
18 Replies
5K Views
Habari zenu wadau naomba msaada wa kujua utofauti wa bei za mabati endapo utanunulia dukani na kama utamua kwenda kiwandani Bati za rangi migongo midogo Bati za aruminiam za kawaida migongo...
0 Reactions
14 Replies
10K Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally amempongeza kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo na Mbunge wa Kigoma mjini, Zitto Kabwe kwa kuibua mijadala ya kiuchumi na kumkaribisha...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…