Hali ni shwari kabisa hapa Mtwara manunuzi yanaendelea

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,668
40,916
Hali ni shwari kabisa.

Hakuna manunguniko ni zoezi la kuuza na kununua tu kwa bei elekezi linaendelea.

Kama kuna waliodhani ni mbwembwe huku ndio kwanza kumekucha.

Hongera Serikali wananchi wananufaika.
 
Naandika nafuta, naandika nafuta nafuta tena

Ngoja ninyamaze.

IMG_20181125_121516.jpeg
 
Hivi fedha za kununua korosho na kugharamia operesheni hii ya kijeshi zimepitishwa na nani?
 
Hali ni shwari kabisa.

Hakuna manunguniko ni zoezi la kuuza na kununua tu kwa bei elekezi linaendelea.

Kama kuna waliodhani ni mbwembwe huku ndio kwanza kumekucha.

Hongera Serikali wananchi wananufaika.
Hizi korosho zote serikali inajua pa kwenda kuziuza?
 
Back
Top Bottom