Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habarin za muda huu Wanajamvi…!! kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu,, nipo Mbeya kama mwezi wa tatu hivi kwa shughuli binafsi,, lakin kitu nilichokion ni wimbi kubwa la wanaume hasa...
1 Reactions
28 Replies
6K Views
20% PAYE 10% PSSSF 15% HESLB 06% NHIF 02% RAAWU 10% FUNGU LA KUMI TAKE HOME 37% Hapo hujakopa Posta/CRDB Baadaye unastaafu na mafao 25% FUNZO: UTUMISHI WA UMMA NI WITO
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni karibu wiki ya pili sasa kumekuwa na mjadala kuhusiana na kanuni/sheria mpya za mafao. Mjadala huo ambao ulimuibua Spika wa Bunge Job Ndugai hata kusema kuwa bunge halistahili lawama hizo kwa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari Wana JamiiForums; Naomba kuuliza kwanini dunia nzima inapenda sana kwenda Marekani? Yaani huwa ni furaha kwa familia au ukoo mzima pindi wakisikia flani anaenda Marekani Huko Marekani...
4 Reactions
112 Replies
10K Views
Ikiwa wengi wetu tunakaa maeneo ya mbali na kazi, definitely kuna kuwa na gharama za kukufikisha kazini na kukurudisha nyumbani. Tuambie, wewenzetu umatumia sh ngapi? Mie nikitumia gari binafsi...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Mkuu wa wilaya ya mbulu mh chelestino s mofuga Leo 29/11/2018 amefanya mkutano wa hadhara kata ya Dongobesh kusikiliza kero za wananchi na kuzitatua Mkuu wa wilaya akiwa na jopo la wataalam...
0 Reactions
0 Replies
689 Views
Mkuu wa mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti ametoa maagizo kwa wakurugenzi watendaji wa Halmashauri. Kuhakikisha wanatoa kipaumbele kwa wanachama wa mfuko wa BIMA ya afya iliyoboreshwa iCHF ili iwe...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mkuu wa mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti ametoa maagizo kwa wakurugenzi watendaji wa Halmashauri. Kuhakikisha wanatoa kipaumbele kwa wanachama wa mfuko wa BIMA ya afya iliyoboreshwa iCHF ili iwe...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna ajali ya basi la Rungwe express liendalo Mbeya. Mwenye taarifa kamili na majina ya watu 3 waliofariki atujuze
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Direct to the topic sitoi hata salamu Hizi route wanachokifanya wanapakia watu kuelekea Kibamba/ Mloganzila cha ajabu gari ikifika Mbezi inapanga foleni pale stand ili ijaze. Yani kama umepanda...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Huu tunaambiwa ni Uchumi wa Viwanda,Serikali ya Viwanda,ziliwahi Kuwa Tetesi kuanzishwa kwa Kiwanda Cha cement Shinyanga maeneo ya Kizumbi.Kiwanda ambacho kingeweza Kusambaza cement mikoa ya...
2 Reactions
3 Replies
4K Views
Kidumu Chama Cha Mapinduzi Niwape habari njema ndugu zangu watanzania wapenda maendeleo. Ni hivii serikali imejipanga kusambaza madaktari na vifaa tiba vya tiba ya kinywa na meno nchi nzima Haya...
0 Reactions
1 Replies
665 Views
Wakati Tanzania ikipambana kukamilisha upanuzi wa ujenzi wa uwanja wa ndege ambao utakuwa bora zaidi na kuziwezesha ndege kubwa zaidi duniani kuweza kutua kwa wingi..hapa nimekuwekea list ya...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Habari zenu,Mimi Ni dereva wa uber/taxify mwaka sasa Trips 976+ combined, Ni mwezi sasa nimekuwa nikitafuta gari ya mkataba kwa ajili ya uber! Changamoto nilizo kumbana nazo zina nikatisha tamaa...
1 Reactions
2 Replies
975 Views
MWANZA: Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linakusudia kuanzisha kampeni dhidi ya madereva walevi kwa kutega maeneo ya karibu na baa na kuwapima madereva wote wanaotoka kwenye maeneo hayo ya starehe...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Je ulimwengu unaendeshwa na nguvu roho isiyoonekana? Je nguvuroho hiyo ndio itakuja kusimama na kuwa mwisho wa dunia? Kumbuka kuna ulimwengu na kuna dunia...dunia inaonekana unaweza kuichora na...
5 Reactions
38 Replies
7K Views
Tumeuanza mwaka 2018 masaa machache yaliyopita... Nawiwa kuongea jambo ili nipate wepesi wa nafsi rohoni... Mizigo ya kiroho hutuliwa kwa kunena(kutubu) ama kulia... Mimi sijalia nanena...
20 Reactions
72 Replies
7K Views
Mwanamke Mmoja aliyejulikana kwa Jina la Ndilikuli Matupa Mkazi wa kijiji cha Mkangaula Kata ya Namalenga wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara ameshukuru wananchii wenye hasira Kali kwa Kumchoma Moto...
4 Reactions
53 Replies
10K Views
Katika maisha zipo hofu za aina nyingi zinazomtesa binadamu. Lakini mojawapo ya hofu kubwa ambayo inasumbua sana wengi ni hofu ya kuongea mbele za watu. Hii ni hofu ambayo huwatesa wengi sana...
5 Reactions
36 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…