Harusi ya Mdogo wake rais Kikwete Ikulu ndogo Bagamoyo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Harusi ya Mdogo wake rais Kikwete Ikulu ndogo Bagamoyo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Calnde, Jul 16, 2011.

 1. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2011
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Katika pitapita yangu Michuzi naona harusi ya mdogo wake kikwete. Mambo machache yananivutia

  1. Kwanza kama vile anayeoa ni mkubwa kuliko mh (facial expression)

  2. Harusi imefanyika VIWANJA VYA IKULU NDOGO BAGAMOYO. Sijui kama mie nawaonea wivu ila hii ya harusi kufungiwa Ikulu ndogo, mh


  [​IMG]

  Rais jakaya Kikwete na Makamu wake Dkt Mohammed Gharib Bilal, wakiongozana katika Uwanja vya Ikulu Ndogo Bagamoyo wakati walipofika kuhudhuria sherehe ya ndoa ya mdogo wake na rais Kikwete, Yusuf Kikwete, iliyofungwa leo mchana katika uwanja huo na kuhudhuriwa na mbalimbali pamoja na wake za viongozi.
  [​IMG]

  Bwana harusi, Yusuf Kikwete akiongozana na wapambe wake wakati wakiingia katika uwanja huo kwa ajili ya kufunga ndoa.
  [​IMG]

  Sheikh, akitoa mawaidha baada ya bwana harusi kufungishwa ndoa.
  [​IMG]

  Bwana Harusi, Yusuf Kikwete , akifungishwa ndoa na Sheikh. Aliyemshikia mike ni kaka yake Mohamed Kikwete
  [​IMG]

  Bwana Harusi Yusuf na waumini wa dini ya Kiislamu wakiomba dua baada ya tendo la kufungishwa ndoa.
  [​IMG]

  Rais Jakaya Kikwete na Makamu wake Dkt. Bilala, wakiwa katika meza kuu kwenye Sherehe hiyo iliyofanyika Bagamoyo leo.
  [​IMG]

  Rais jakaya Kikwete, akiwa katika picha ya pamoja na mkewe Mama Salma Kikwete na Bwana na Bi Harusi.
  [​IMG]

  Rais Jakaya akisalimiana na Mudhihir Mudhihir, walipokutana katika sherehe hiyo.
  [​IMG]

  Miraji Kikwete, naye hakuwa mbali katika kunasa matukio, hapa alikuwa akimpiga picha baba yake mdogo.
  [​IMG]

  Rais Jakaya Kikwete, akiwa katika picha ya pamoja na mkewe Mama Salma Kikwete na Bwana Yusuf Kkikwete na Bi Harusi Mariam Ombaka.
  [​IMG]

  Bwana harusi akipiga picha ya kumbukumbu ya pamoja na wake za viongozi.
  [​IMG]

  Mama Salma Kikwete (kushoto) akiwa na Mama Zakhia Bilal (katikati) na Mama Asha Bilal, wakati wakiwa katika sherehe hiyo ya ndoa ya mdogo wake na Rais Jakaya Kikwete, Yusuph Kikwete leo mjini Bagamoyo.
  [​IMG]

  Bwana Harusi, Yusuph Kikwete akiwa na mkewe Mariam Ombaka, baada ya kufungishwa ndoa.

  [​IMG]  [​IMG]
  matukio-michuzi: JK NA DKT BILAL WAHUDHURIA NDOA YA YUSUPH KIKWETE BAGAMOYO LEO
   
 2. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 23,145
  Likes Received: 10,472
  Trophy Points: 280
  huyo mama mwenye miwani ndo bi harusi?
  mbona kanuna hivyo af ni harusi kweli? asa mbona hujatuwekea picha
  ya bwana na bi harusi?ulukuwa unafanyaje huko ikulu?
   
 3. g

  geophysics JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Sawa waache watese wakati watu wakipoteza maisha hospitali zetu...hiyo pesa wanayoitumia hata ya mafuta kupeleka viongozi wa serikali, ulinzi, maandalizi yote ni kodi za walala hoi....... Eeee Mungu tuone nasisi...kwa kusikia sala zetu ili wezi kama hawa wapatwe na gharika...kwa wizi wao.
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,586
  Likes Received: 15,020
  Trophy Points: 280
  mbona huyu mdogo ndio anaonekana kama mzee?au life msoto.. JK naona kawa mweupe kiyoyzi nini? au kwa vile anaishi kwenye ndege?
   
 5. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 3,748
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Ameukanyanga muda 2,
   
 6. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,296
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Samahani, naomba kuuliza.

  Hiviii! Alieoa ni mdogo wake kikwete au mkubwa wake kikwete!

  Alafu amemwoa huyu Bi Mariam kama mke wa ngapi?
   
 7. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,840
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ni mkubwa aliyekuwa na skendo ya baarabara ya msata to bmoyo!
   
 8. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #8
  Jul 16, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,830
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  dah kuwa M.K.W.E.R.E Shida! maendeleo yao ni kujaza wake tuuuuuuuu
   
 9. JS

  JS JF-Expert Member

  #9
  Jul 16, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Sasa huyu mkubwa si alikuwa south africa jana sijui juzi?kafika south saa ngapi akahudhuria mkutano saa ngapi akrudi saa ngapi na akaelekea kunako harusi saa ngapi?? Mmmh!!!
   
 10. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #10
  Jul 16, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,220
  Likes Received: 1,628
  Trophy Points: 280
  umesahau ana kandege kake? ni kama ww unvyotoka tabata ukaenda sinza afu ukaenda buguruni na tuk tuk yako.
   
 11. Mizizi

  Mizizi JF-Expert Member

  #11
  Jul 16, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,266
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  huyu sio lelemama! Kwake hayo ni jambo dogo, sio wewe ukifanya kazi moja basi ndio basi!
   
 12. Chris_Mambo

  Chris_Mambo JF-Expert Member

  #12
  Jul 16, 2011
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 597
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Eji imetembea ile mbaya kwa bwana na bibi harusi, inakuwaje wamechelewa namna hii?
   
 13. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #13
  Jul 16, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,143
  Likes Received: 2,133
  Trophy Points: 280
  Jamaa si alikuwa south juzi..au ili happen before.
   
 14. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #14
  Jul 16, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,604
  Likes Received: 349
  Trophy Points: 180
  Hahahahaaa!Amekula miguu ya kuku sana alivokuwa mtoto, sasa anazurura tu, miguu inawasha.
   
 15. Da Pretty

  Da Pretty JF-Expert Member

  #15
  Jul 16, 2011
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 3,051
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Atakua wa nne!!!
  Ila nae lazima atakua na vyuo kadhaa
   
 16. kichomi

  kichomi JF-Expert Member

  #16
  Jul 16, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 512
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ikulu siku hizi ni kama D jubilee haina thamani.
   
 17. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #17
  Jul 16, 2011
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ntaomba na mie nikafanye besidei yangu pale magogoni! Au ikishindikana pale waniruhusu hata ile ya Moshi au bagamoyo
   
 18. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #18
  Jul 16, 2011
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,428
  Likes Received: 762
  Trophy Points: 280
  walikua wanasubiri kikwete apate urais
   
 19. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #19
  Jul 16, 2011
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,428
  Likes Received: 762
  Trophy Points: 280
  hii ndo shida ya kuwakabidhi nchi mamwinyi,wao ni busy kuongezea wake tuu
   
 20. Dickson Ng'hily

  Dickson Ng'hily JF-Expert Member

  #20
  Jul 18, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 421
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Ndugu wanaJF, Kwenye news feed ya fb, ndugu Mtanzania Halisi ametoa hoja hii ya mdogo wa rais Kikwete kufungia ndoa Ikulu. Sasa kwa kuwa huku ndo kwenye Great Thinkers, nimeona niilete huku ili tuweze kupata darasa. Je ni sahihi? WAHESHIMIWA , TUPENI MUONGOZO..RAIS ANAPOSHIRIKI KUTUMIA MALI ZA UMMA KWA MASLAHI BINAFSI !!...Au kutokana na Edson..Je haya ndo matumizi ya Ikulu yetu?...http://www.globalpublishers.in​fo/profiles/blogs/ndoa-ya-mdog​o-wa-rais-kikwete
   
Loading...