Mawazo yenu/kwangu kuhusu "biashara"

Mawazo yenu/kwangu kuhusu "biashara"

Mwangah

Member
Joined
Nov 15, 2018
Posts
27
Reaction score
7
Ndugu wana Jforum, nawasalimia kwa salamu zote.
Husika & kichwa cha habari hapo juu"MAWAZO YENU/KWANGU".
Pichani kama navyoonekana, ni Mimi MWANGAH nilikuwa maeneo ya kazi zangu ktk mkoa wa KILIMANJARO wilaya ya MWANGA kwenye BODABODA.
Kwa sasa, nimerud maeneo ya mkoa wa DAR & jiran mkoa wa PWANI"kongowe".
Nimekuwa mwenye mzuka sana wa AMANI ktk KAZI & PESA.
Kwa KAZI niliyoipendelea ni USAFIRI & USAFIRISHAJI MIZIGO & ABIRIA"basi".
Nilifanya utafit baadhi ya maeneo, lkn utafit ulikuwa ni wa haraka haraka kutokea VIKINDU kwenda VIANZI & gharama za usafir kituo had kituo ni Tsh.1000/-kwa umbali wa Kilomita 6 & zaid.
MAWAZO YENU/KWANGU, vip itaweza kunipa hatua nzuri ya biashara & maemdeleo ya uchumi?

Aksante.
received_926284610869977.jpeg
 
Watafute kwenye maeneo ambayo umepanga kuendeshea kazi zako.
Jishushe utafanikiwa.
Kila la heri ndugu yangu.
 
Back
Top Bottom