Ni swali tu ndugu zangu.Chama kikongwe katika ulingo wa siasa za Tanganyika na baadaye Tanzania na chenye historia ndefu juu ya uongozi kitaifa sasa kinaonekana dhahiri dhihiri kinapumulia...
Kwa kipindi kirefu, elimu nchini Tanzania hasa elimu ya chuo kikuu imegubikwa na changamoto nyingi ambazo zinaifanya ionekane ni ya ovyo. Wanafunzi wa vyuo hawajitumi kusoma kwa kutegemea alama...
Maisha ya kisiasa
1966: Alishinda kiti katika Bunge la Wawakilishi
1971: Nixon amteua kuwa balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa
1974: Ateuliwa kuwa Balozi wa Marekani katika ubalozi mpya...
Naenda moja kwa moja hoja, nafuatilia live matangazo ya JPM na Uhuru kenyatta,ila kuna jambo binafsi kwa uelewa wangu mdogo, nyimbo za taifa wakati zinapigwa umeanza wimbo wetu na kufuata wa...
Wakuuu jiwe alisema huko nyuma kwamba hakuna atakaemkwamisha na atakaejaribu kumkwamisha atakwama yeye,sasa jana nimesikia tetesi kuwa ameishakwama na wanamtuhumu kiongozi mmoja wa zamani kuwa...
Kwa yeyote anayejua zilipo ofisi za makampuni haya, tafadhali naomba msaada wa kuelekezwa au mawasiliano yao.
1. Arab contractors, walioshinda tenda ya stiglers George
2. GS Engineering...
Wanajf, nadhani ni vizuri kuwa makini Na maamuzi ikiwa pamoja Na kumhusisha Mungu katika maamuzi yoyote!
Naja kwenye maada, wapo wanajf wanao mhurumia Mbowe kutokana na uamuzi wake wa kuichezea...
Ni miezi kadhaa tu imepita Wakenya walianzisha Safari yao ya Kwanza ya moja kwa moja ( direct flight ) kwa Ndege yao ya Kenya Airways kutoka Nairobi hadi New York tena kwa mbwembwe / mikogo yote...
Habari ndugu zangu,
Kuna kipindi kulikuwa na mchakato wa kutafuta vazi la taifa, je ulifikia wapi? Tafadhali tujuzane kwa mwenye kufahamu hili.
Nadhani ni wakati muafaka tuwe na vazi la taifa...
Hawa halotel wamekuwa wakinipa huduma bora kwenye internet ila hii wiki mambo yamekua tofauti, Kuanzia juzi hadi sasa internet imekuwa ni slow mno mpaka kero.....Instagram siwezi kuitumia kabisa...
Kuna muda nilipita maeneo ya Leaders nikakuta Wasanii fulani wakiwa wamekaa na wawili wakiwa wanalia ila kulikuwa na Usiri hivi. Nikapitia Sinza na kwenyewe kuna Kambi moja ambayo huwa huwakosi...
Kumeibuka janga la waajiri kuitisha interview hewa na kuwataka wanaoomba kazi kulipa pesa ili waitwe kwenye interview. Mfano mzuri ni Happy English Medium iliyopo mkoa wa Kagera na Ndagara...
Kwa muda mrefu kama ilivyo kwa vyuo vikuu binafasi, chuo kikuu cha St John's tawi la Buguruni Malapa kumekuwepo na matatizo makubwa. Miongoni mwa matatizo haya ni upungufu wa waalimu, kutokuwepo...
Kumbe hawa tunaowadharau na kuwakumbatia Wachina ndio hutuchangia Asilimia 80% katika budget yetu ya Afya. Kutoa Dawa za ARV’s na Support ya kupima VVU / UKIMWI.
wakati sisi udenda unatutoka na SGR yetu, haya ndio mambo ambayo dunia imekua ikiyafanya nyuma ya migongo yetu.
Monorail and Maglevs ( treni zisizo na matairi ) speed ya ajabu...
Kwanza naomba niannze kwa kusema uzi wangu usiungwe na mwingine wowote...
Bila kupoteza muda naomba moja kwa moja nije kwenye mada, kumekuwa na tuhuma na shutuma mbalimbali ambazo zimekuwa...
Wanajamvi hii kitu inaitwa Brela online registration upande wa ku update informations za makampuni ni tabu sana , inatupa shida sana wadau.
Miezi sita imepita sasa bila mafaniki...
Habari wakuu,Leo nimecheka sana afu baadae nikawaza sana kile kilichotokea kwa mwaume mwenzangu, iko hivi mkewe amemgundua anamchepuko na Leo jamaa baada ya kutoka kazini mida ya saa mbili usiku...