Kajolijo
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 3,364
- 4,607
Kwanza naomba niannze kwa kusema uzi wangu usiungwe na mwingine wowote...
Bila kupoteza muda naomba moja kwa moja nije kwenye mada, kumekuwa na tuhuma na shutuma mbalimbali ambazo zimekuwa zikihusisha wahadhili wa chuo kikuu cha Dar Es Salaam kuwa wanatoka au wanaomba rushwa ya ngono kutoka kwa wanafunzi.
binafsi nmefanya utafiti na uchunguzi binafsi na kiugundua kuwa habari hizi hazina ukweli au uhalisia namna hiyo kama wanavodai. hii kutokana na utafiti mdogo nilioufanya hivi karibuni na kugundua kuwa huenda ni kutokana na wivu na nongwa hasa ukizingatia hiki ndio chuo cha taifa, halafu mheshimiwa rais amekuwa akikisifia sana tena hadharani hivo habari hizi zinaenezwa hasa na vyuo shindani vinavolenga kukichafulia jina chuo hiki pendwa ambacho kimekuwa kikisifiwa na watu mbalimbali mashuhuri wa ndani na nje ya nchi hata rais kutokana na kutoa watu wabobezi na wataalam konki katika nchi hii.
kwa vile mheshimiwa amefikia hatua ya kusema ukiomba kazi umesoma UDSM cheti chako hakiangaliwi mara mbili mbili kama vyo vingine kwa sababu unaaminika umesoma chuo cha taifa ukilinganisha na vyuo vingine vinavopimwa kama vyuo vya kata hivo wameamua kuanzisha hili ili tu ionekane kuwa wataalam wa pale si mahili maana wanapatikana kwa njia ya rushwa ya ngono.
Hoja ya pili kuna vyuo vingi sana vina sifa kama hiyo inayosemwa hapo lakini kwanini kikomaliwe hiki chuo cha taifa pekee? jibu utagundua kua ni kwa vile kimekuwa kikisifiwa hadharani kuwa hamna chuo bora kama hiko hapa nyumbani Tanzania na ukichunguza au kwa mjibu wa utafiti wangu binafsi watu wengi au asilimia kubwa ya watu wanaoeneza sifa hizi ni watu ambao siyo wanajumuiya ya UDSM au wamesoma vyuo tofauti na hiki
karibuni kwa mjadala