Hii kitu wadada zingatieni mnatufelishaga wenyewe.

Hii kitu wadada zingatieni mnatufelishaga wenyewe.

thA goD

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2017
Posts
1,943
Reaction score
1,858
Kuna msichana akija gheto mpaka mvutanee, nguo mchaniane, mvuane kama vita sasa msichana kama huyu kondom utavaa sa ngapi ukimwachia tu kashapandisha nguo...mnatukwamisha kuvaa kinga hebu kama umekubali weka wazi tujipange tupige game salama.
20181121_173642.jpeg
 
Kweli kabisa mkuu ulisemalo... Demu kama huyo condom haivaliki kabisa..
Kudadadeq zako
 
Kuna msichana akija gheto mpaka mvutanee, nguo mchaniane, mvuane kama vita sasa msichana kama huyu kondom utavaa sa ngapi ukimwachia tu kashapandisha nguo...mnatukwamisha kuvaa kinga hebu kama umekubali weka wazi tujipange tupige game salama.View attachment 951851

Mbona kama chombo yangu hii!!!
 
Ukiona hivyo ujue hajakuelewa mzee baba sema kamaind mchele au michemsho uliyokuwa unamwagizia pande zile
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom