TRA ni wakala wa kukusanya kodi kwa niaba ya Serikali, lakini pia zipo serikali za Mitaa na mamlaka zingine.
Ishauri Serikali yako pendwa namna ya kukusanya kodi kwa watu wafuatao ambao wanaingiza...
Siku hizi wanawake hawasubiri tena kuambiwa “unaweza.”
Wanasema, “najua naweza/tunaweza.”
Wanajiamini, wanavaa wanavyotaka, wanaendesha magari yao, wanaamua nani wa kuwa naye na lini — lakini bado...
MWANDISHI wa Kituo cha Televisheni cha ITV, Ufoo Saro ambaye hivi karibuni alikumbwa na madhila ya kupigwa risasi na kujeruhiwa vibaya na mzazi mwenzie, ameanza kufunguka kidogo kidogo na kueleza...
Nimeshangazwa mitandaoni watu wamekomalia kuwa inshu hiyo ni ya kisiasa, wengine wameenda mbali eti mganga anaetuhumiwa si mganga ni ka mchezo tu, kuikinga serikali.
Kama tutaendelea hivi sioni...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Hii inawahusu ambao hawajaoa. Wewe uliyeoa pambana na hali yako. Hii haikuhusu.
2. Vijana wengi wamekuwa wakiniambia niwadokeze ni mambo gani wazingatie...
Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi Tanzania (PSPTB) inawatangazia wadau wote kuhusu kufanyika kwa Jukwaa la Kwanza la Wataalam Wakuu wa Manunuzi na Usimamizi wa Mnyororo wa Ugavi...
Ni wazi kuwa huyu ndugu Mafwele ni mshiriki wa kanisa la Waadventista Wasabato.
Kwakuwa mwongozo wao wa kanisa unasema kuwa kuvunja moja ya amri 10 za Mungu ni kosa linaloweza pelekea adhabu...
Kutokana na mambo ya AI kwasasa mambo mengi sana ya kitaaluma yanabadilika na yatabadilika kabisa. Je, kwa mtu mwenye taaluma ya mambo ya MATHEMATICS na DATA kiasi, na akataka kutafuta eneo la...
Ahmed Fuad Edha ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Azania Group ametunukiwa udaktari wa heshima wa ujasiriamali kutoka Chuo Kikuu cha Harvard nchini Marekani.
Edha anatakwa kuwa...
Kwa mifuko yetu pendwa ya NSSF & PSSSF
Tunaomba mtuwekee Kikokotoo digital ambapo mtu akikaribia kustaaf (ndani ya miaka mitatu ya mwisho ambapo mara nyingi mshahara haubadiliki) anaweza kuweka...
Madereva wa Bolt wanakera sana. Unakuta kwenye app imeonyesha nalipa shilingi 3,000, lakini dereva anasisitiza nimlipe 4,000 akidai mara nyingine app ya Bolt huwa inasumbua. Nilimwambia aendelee...
Natafuta mwekezaji kwa ajili ya ushirikiano wa kibiashara kwenye masoko ya kifedha (Crypto) kupitia mfumo wa "Quantitative Trading".
Kikwazo kikubwa cha uwekezaji mtandaoni ni usalama wa mtaji...
Ukiona tabu zimezidi ujue nini kinafata....
Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi...
Baada ya kuliwa sana vi buku buku vyangu hatimae mambo mswano.
Leo nimetoka kuwekewa mzigo wangu wa Milioni...
"Banjoo" NI jambazi sugu la Silaha hapa Arusha lililokuwa linatumiwa kama kijana wa kazi na Nyari kuwapora wafanyabiashara madini ya TANZANITE yaliyokuwa yakipelekwa KIA kusafirishwa nje.
Jambazi...
Pamoja na kuwa nimekula nyama aina nyingi. Kuanzia kuku, nguruwe, samaki, mbuzi, bata, panya, nyama pori n.k ila hakuna nyama ambayo inaweza kumpita ng'ombe kwa kutokinaisha.
Unaweza kuila kila...
Hii chupa ya dripu ina nusu lita ya kimiminika aina ya ‘maji’. Lebo hapo inasema "0.9% w/v" Sodium Chloride (chumvi). Kwa kifupi, maana yake ni kwamba 99.1% ya hii chupa ni maji. Kwenye hii dripu...
Jeshi la Polisi mkoani Arusha, limesema linaendelea na uchunguzi kuhusiana na tukio la mtu mmoja aitwaye Abdilah Musa maarufu kwa jina la Banjo ambaye alifariki dunia huko katika Wilaya ya Kondoa...