Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mimi ni mrefu almost 6.4 ft. Miaka 27 Nina kilo 89. Kuanzia kichwani mpaka kiunoni ni mwembamba wa kawaida Ila kuanzia kiunoni mpaka kwenye mapaja ni mnene kabisa tusema Nina asili ya shape na...
6 Reactions
83 Replies
1K Views
MAMBO YA KUZINGATIA UNAPOKUWA NA WATU WAKUBWA KAMA VIONGOZI WA NCHI AU MATAJIRI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Vijana wengi wamekuwa wakitamani na kuomba Kila Siku ndoto yao ya kukutana na...
11 Reactions
21 Replies
542 Views
LHRC: KUREJEA KWA KASI KWA MATUKIO YA UTEKAJI NI TISHIO KWA UHURU WA RAIA NA UTAWALA WA SHERIA NCHINI Tarehe 22 Mei 2026, Dar es Salaam Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinalaani na...
2 Reactions
2 Replies
209 Views
Anonymous
Msewe Chief Kunambi Maji yamekuwa shida tangu November 2025 ✅️ Mvua ikinyesha maji nayo yanatoka, Ikikatika maji nayo yanakatika. ✅️ Tunamaliza wiki mbili bila maji ya mgao, yanaweza toka usiku...
3 Reactions
26 Replies
406 Views
Nipo Mbezi Msakuzi, kuna changamoto ya maji kukatika mara kwa mara, na hata yanapotoka hudumu kwa muda mfupi kisha hukatika tena. Hivi sasa tunaelekea wiki ya pili bila maji. Tunapotoa taarifa kwa...
2 Reactions
6 Replies
144 Views
Kuanzia Kibo kuelekea Mbezi foleni mbaya kwasababu ya ujenzi wa barabara. Matrafiki wamekimbia, barabara vurugu.
11 Reactions
36 Replies
509 Views
Mke kupenda fedha kama Delila hubomoa ndoa yake Samsoni na Delila Hebu kwanza tusome habari fupi kuhusu Samsoni na Delila, kama ilivyoandikwa kwenye kitabu cha Waamuzi 16:1-22 Samsoni ni nani...
6 Reactions
14 Replies
323 Views
Rhimo Nyansaho kwao ni Serengeti, makao makuu a hii wilaya ni Mugumu (kwa sasa serengeti mjini) ni sehemu ambayo ukifika utajishika kichwa kwa kushangaa jinsi maendeleo yalivyo duni ilhali...
1 Reactions
3 Replies
191 Views
WATUMISHI WA SERIKALI WANAOTUMIA DAWA ZA KULEVYA WAKALIA KUTI KAVU… MichuziMay 14, 2026Read original -DCEA kuja na operesheni maalum kuwabaini, vijana walioko vyuo vikuu, katika vijiwe waonywa...
5 Reactions
20 Replies
506 Views
Anonymous
Hapa Mpwapwa Mjini tuna kero kubwa ya kuwa na dampo lango la stendi ya mabasi taka zinakaa muda mrefu sana na imekuwa changamoto ya muda mrefu sana harufu kali inahatarisha afya za watumiaji wa...
0 Reactions
1 Replies
110 Views
Shukrani zote anastahiki Allah Mola mlezi wa walimwengu wote Swala na salamu zimshikie kipenzi chetu mtume Muhammad swalallahu alayhi wasalam na jamaa zake na maswahaba zake na watakaowafuata hao...
12 Reactions
87 Replies
1K Views
Kulingana na roho yake ya kinyama na matendo yake ya kinyambilisi, yaliyochangia pakubwa kuleta simanzi kwa familia nyingi za waTz, tunapaswa kuishi na kumbukumbu ya milele kumuhusu mtu huyu...
10 Reactions
17 Replies
469 Views
TRA ni wakala wa kukusanya kodi kwa niaba ya Serikali, lakini pia zipo serikali za Mitaa na mamlaka zingine. Ishauri Serikali yako pendwa namna ya kukusanya kodi kwa watu wafuatao ambao wanaingiza...
5 Reactions
56 Replies
1K Views
Siku hizi wanawake hawasubiri tena kuambiwa “unaweza.” Wanasema, “najua naweza/tunaweza.” Wanajiamini, wanavaa wanavyotaka, wanaendesha magari yao, wanaamua nani wa kuwa naye na lini — lakini bado...
6 Reactions
23 Replies
1K Views
MWANDISHI wa Kituo cha Televisheni cha ITV, Ufoo Saro ambaye hivi karibuni alikumbwa na madhila ya kupigwa risasi na kujeruhiwa vibaya na mzazi mwenzie, ameanza kufunguka kidogo kidogo na kueleza...
21 Reactions
369 Replies
62K Views
Nimeshangazwa mitandaoni watu wamekomalia kuwa inshu hiyo ni ya kisiasa, wengine wameenda mbali eti mganga anaetuhumiwa si mganga ni ka mchezo tu, kuikinga serikali. Kama tutaendelea hivi sioni...
0 Reactions
10 Replies
272 Views
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Hii inawahusu ambao hawajaoa. Wewe uliyeoa pambana na hali yako. Hii haikuhusu. 2. Vijana wengi wamekuwa wakiniambia niwadokeze ni mambo gani wazingatie...
4 Reactions
14 Replies
443 Views
Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi Tanzania (PSPTB) inawatangazia wadau wote kuhusu kufanyika kwa Jukwaa la Kwanza la Wataalam Wakuu wa Manunuzi na Usimamizi wa Mnyororo wa Ugavi...
0 Reactions
6 Replies
174 Views
Ni wazi kuwa huyu ndugu Mafwele ni mshiriki wa kanisa la Waadventista Wasabato. Kwakuwa mwongozo wao wa kanisa unasema kuwa kuvunja moja ya amri 10 za Mungu ni kosa linaloweza pelekea adhabu...
16 Reactions
130 Replies
7K Views
Back
Top Bottom