Kijana Hussein Abdallah Mkwame (26) mkazi wa eneo la Ungindoni -Kongowe, wilaya ya Kibaha, mkoani Pwani kwa takribani miezi miwili (2) sasa hajulikani alipo baada ya watu wasiojulikana kumkamata...
Anaitwa GIDEON MLOKOZI MASHANKARA ana umri wa miaka 30, mkazi wa Tabata Segerea,
Kazi yake ni mfanyabiashara wa kuuza magari lakini pia ni mwanaharakati huru wa mitandaoni,hajulikani alipo siku...
Ndugu MUSA VENERABLE MZIBA mfanyabishara mwenye umri wa miaka 37 anaemiliki Kampuni ya Mzibaz Empire Investments Ltd amechukuliwa na watu wasiojulikana Tar: 07 Desemba mida ya Saa 2 Usiku, akiwa...
Kuna watu nawashangaa sana, eti USA wanamwekea Mafwele na familia yake vizuizi vya kwenda USA so what, kwani Mafwele anauhitaji wa kwenda USA?
Soma pia Mafwele azuiwa kuingia Marekani. Ahusishwa...
=======
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limenunua magari mawili maalumu ya kisasa ili yatumike katika ukaguzi na upimaji wa reli mpya ya mwendokasi (SGR) kwa upande wa kipande cha kwanza na cha...
Habari wakuu.
Leo natamani tujadili mapinduzi ya mifumo ya malipo kwenye sekta yetu ya usafiri wa umma, hasa hapa mjini ambapo kero ya chenji imekuwa ya kudumu. Kila siku tunashuhudia mabishano...
Fichua uovu: Uyole, jimbo jipya la Tulia.
Nimefanya malipo ya kuunganishiwa huduma ya maji safi tangu mwezi wa nne, lakini hadi leo sijapatiwa huduma hiyo. Kila ninapofuatilia, naambiwa vifaa...
Habari wana jukwaa, nina mgonjwa(mama mjamzito) mda wake wa kujifungua umekaribia na ninapokaa kuna umbali kidogo mpaka hospitali kwa hofu ya kuhofia asije akapata uchungu usiku ikanibidi niende...
Habari za hasubuhi.
Tanzania kuna changamoto ya watu ambao hawana nyazifa ya usemaji lakini wao wanahisi kwa sababu wanatetea chama cha mapinduzi au serikali basi wako tayri kusema lolote...
Salama
Nimapendekezo yangu viongozi wote wahakikishe wanapata somo la katiba kwa sababu viongozi anapokula kiapo anasema "Nitailinda ,kuhifadhi na kutetea "katiba ya Jamuhuri wa Muungano wa...
Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instragram Jacqueline Mengi ambaye ni Mjane wa Reginald Mengi waliofanikiwa kupata watoto wawili ameandika na kueleza namna ambavyo wajane na watoto wa marehemu...
Katika pita pita zangu nimekutana na watoto acha niwaite tu "broiler"
Wana tabia za ajabu sana ila kilichonishtua ni kuona wazazi wao wanachukulia normal sana hawashutuki wala hawajali juu ya...
Nimefikia uamuzi huo baada ya kufuatlia na kuona vijana wengi wakiumwa ugonjwa wa figo.. ninao wajua na maarufu tunaowajua wengi...
Pia nitajitahidi sana unywaji wa beer🍻 kwa kiwango na mara...
,Kuna usemi usemao "Ndugu wa karibu ni jirani." Lakini kwa nyakati hizi tunazoishi, msemo huu unaanza kupoteza maana kwa kasi sana.
Leo hii majirani wamekuwa chanzo kikubwa cha maumivu, fitina...
Habari wapendwa?
Je una freezer ambayo huitumii? Au unaweza kunisaidia nipate freezer? Ninaomba unisaidie. Hata kama ni kwa kununua uwezo wangu utakuwa kulipa kwa awamu maana kipindi hiki...
Kwamba kufa ni sawa hata kama ni premature death!
Kwamba wale wanaokufa mahospitalini kwa sababu ya uzembe wa serikali kupeleka vifaa na wataalamu waliobobea navyo ni vifo tu!
Kwamba vifo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.