Kwa mifuko yetu pendwa ya NSSF & PSSSF
Tunaomba mtuwekee Kikokotoo digital ambapo mtu akikaribia kustaaf (ndani ya miaka mitatu ya mwisho ambapo mara nyingi mshahara haubadiliki) anaweza kuweka Mshahara wake na miezi aliyochangia na kujua anachotegemea kupata (Lump sum na kile kiasi cha kila mwezi). Kile cha manual kilichopo hakinufaishi walengwa kwani wengi hawawezi kukitumia.
Tuwekewe tu kikokotoo rahisi kama ilivyo kwa vikokotoo vya Payee, kodi za magari nk.
Kwa wenzetu KENYA mifuko yao haifanyi uwekezaji wa hovyo hovyo kama wa hii mifuko ya kwetu na ndio sababu wafanyakazi huchangia kidogo (nusu ya kwetu) lakini hupata pension kubwa tu kutokana na uwekezaji wa hela zao na sijawasikia wakilalamika kuwa, wanakosa hela za kulipa wastaafu
Natanguliza shukrani