Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema jamii inapaswa kurejea katika misingi ya malezi ya pamoja na uwajibikaji wa kijamii ili kujenga kizazi chenye maadili, kinachoheshimu viongozi, wazazi...
0 Reactions
0 Replies
114 Views
Ooh hakikisha unaoa mwanamke mwenye bikra, Mara ooh ukikuta hana bikra, piga chini. Kama ingekuwa hivyo wengi wenu msingekuwepo hapa duniani. Mwanamke akiamua kukubadirikia atakubadirikia tu...
6 Reactions
32 Replies
442 Views
Anonymous
Uyole, Jimbo jipya la Mbunge Tulia Mkoani Mbeya nimelipia huduma ya kuunganishiwa maji safi tangu mwezi wa 4 lakini hadi leo hii tunaambiwa vifaa hamna. Wanataka tusubiri hadi vitakapo kuja...
1 Reactions
4 Replies
96 Views
Anonymous
Katika Mtaa wa Nguku, Kata ya Nyandoto, Tarime Mjini, wananchi wanaishi katika hofu ya usalama baada ya mkulima mmoja kupanda mabingobingo (Napier Grass) katikati ya makazi ya watu. Nyasi hizo...
6 Reactions
12 Replies
266 Views
Binafsi nafikiri Sheria ya kubinafsisha mali aliyoiweke Mwalimu Nyerere iendelee kuwepo ILI wale wote watakaobainika kutumia raslimali za umma kwa faida yao binafsi mara watakapo tiwa hatiani...
0 Reactions
0 Replies
76 Views
Iwe kazi Biashara Ajira Mahusiano na ndoa Yani naomba ushauri wowote ili niweze kufanikiwa Ahsante
2 Reactions
28 Replies
284 Views
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) imekamilisha zoezi la upimaji wa wingi wa maji katika kisima kipya cha Kisukuru eneo la Viwanja vya Benki ambapo kimethibitika kuwa na uwezo wa...
0 Reactions
3 Replies
132 Views
Mkurugenzi Mtendaji na CEO wa Equity Group Holdings, Dr. James Mwangi, tarehe 23 Mei, 2026 aliwasilisha mada katika Jukwaa la Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa Taasisi, akisisitiza umuhimu wa viongozi...
0 Reactions
0 Replies
209 Views
Habari wananzengo, Naomba kuuliza Je ni Muda gani Mtu anapewa mkopo kama amekidhi vigezo vyote vya kukopesheka, ie ana dhamana, ana biashara iliosajiliwa, Bank statement zake ziko vizuri ...
1 Reactions
8 Replies
373 Views
Hivi ndivyo ilivyo Whatsapp status yangu kimaudhui Dini (Mahubiri, nyimbo, Aya za biblia n.k)-50% Mpira-20% Matukio(ndoa, birthdays, misiba n.k)-20% Fursa za uchumi,biashara-5% Memes, Quotes-5%
17 Reactions
169 Replies
2K Views
Salama Chadema ni kama ni chama ambacho ni cha kuchezea sarakasi watu kama akina Peter Msingwa mlitakiwa msiwapokee ,Kama alitaka kurudi angeenda Chauma au chama kingine Kuruhusu hizi mienendo...
2 Reactions
5 Replies
175 Views
“Afghanistan kuruhusu watoto wa miaka 9 kuolewa ni jambo linalozua maswali makubwa katika dunia ya leo. Wengi wanaona kuwa katika karne ya 21 mtoto wa umri huo bado ni mdogo sana na anapaswa kuwa...
5 Reactions
65 Replies
765 Views
Unakumbuka nini, tukio gani kila ukilikumbuka unaishia kucheka? Vipi JF imekuletea michongo gani na connection ipi! Umewahi kubahatika kuonana na member yoyote nje JF? Unahisi miaka ya sahivi...
21 Reactions
203 Replies
4K Views
Endapo Hussein Mwinyi atamaliza kipindi chake cha urais Zanzibar mwaka 2030 na akataka kuhamia siasa za Bara kama ilivyowahi kutokea kwa baba yake (rip), Je ndani ya CCM kutakuwa na nguvu au...
3 Reactions
23 Replies
438 Views
Ni wazi Katika harakati za maisha kuna pingamizi nyingi sana, kuna muda unapambana sana kutafuta kile unachokihitaji, unabahatika unakipata lakini kinapotea na kubakiza kama ambaye hajafanya...
136 Reactions
986 Replies
169K Views
Hiki CHEO kimekaa kimkakati SANA kwan kipo kwa matakwa ya mtu Fulani sababu hakipo katika KATIBA Sasa ndugu zangu wasukuma baada ya kifo cha JPM walivunjika moyo sana kwan kifo. Chake kilizua...
1 Reactions
5 Replies
139 Views
Wakuu kuna kitu hakisemwi kuhusu huu mlipuko wa tatizo la figo. Inatajwa pombe, soda na vitu vingine. Ni sawa ila mimi ninasisitiza watu tutumie kinga na tuwe waaminifu kwenye mapenzi. Kila mtu...
2 Reactions
6 Replies
227 Views
Anonymous
Kuna application hii ya kutoa mikopo mitandaoni inaitwa KKPESA naombeni muifuatilie kwa ukaribu sana. 1. Riba zao ni kubwa na inatakiwa mkopo ulipwe kwa muda mfupi sana siku 7. 2. Siku ya 6...
5 Reactions
30 Replies
749 Views
Back
Top Bottom