hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,394
UNAAMBIWA huyu ndiye Mbwa tajiri Gunther Iv anayetajwa kuwa Mbwa tajiri zaidi duniani Akiwa na Utajiri wa Zaidi Ya Tsh.Billion 862 . Utajiri huo unatokana na Urithi Ulioachwa na Mzazi wake Gunther ||| Ambaye na Yeye Aliachiwa urithi wa Tsh Billion 243 kutoka kwa mmiliki wake aliye fariki
Chanzo Millardayo "
Chanzo Millardayo "