Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,435
- 191,764
Habari wadau,
Niko kwenye kuchanganua biashara ambazo hazihitaji mtaji mkubwa kuanzisha na nimevutia zaidi kufahamu biashara ya BABECUE, GRILL ama NYAMACHOMA ikiwa ni ya Ng'ombe,Mbuzi,KuKu au Mdudu spesho! Wenye uzoefu hebu jongeeni mnipe udau kuhusu namna ya kuianzisha na kuiendesha hii biashara!