Somo kupitia kifo cha Bush mkubwa...

Rubawa

JF-Expert Member
Dec 25, 2015
2,055
3,239
Viongozi wetu kuna somo kubwa sna wanatakiwa kusoma kupitia kifo cha Bush mkubwa mie binafsi kifo hiki kimenirudisha mpk tarehe 7 mwenzi 4 mwaka 1972 Zanzibar japo Sababu za kifo zipo tofauti lkn matokeo yote ni Sawa nmejaribu kucheck marekani kwenyewe wazazi wengi waliopoteza watt wao kwenye vita ya Iraq wakifurahia kifo hiki uko Iraq kwenye ndio usiseme leo kwao imekuwa km sikukuu ya Iddy hiyo furaha yke mtaani sio jambo dogo binadam kufurahi kifo cha Binadam mwenzie aliyakuwa anajua na yy ipo siku atafariki mwisho kbs naomba niweke maneno ya muandishi Ahmed Rajab...
Magharibi ya Aprili 7, 1972 ilipothibitika kwamba Sheikh Karume aliuawa, kuna bibi mmoja kizee aliyetoka nje ya nyumba bila ya kujistiri sawasawa. Alikuwa akirukaruka nje akishangilia mauaji ya Karume. Bibi huyo akiitwa Mashavu binti Hassan. Alikuwa mamake Hanga.
tapatalk_1543645639866.jpeg
5c02149be949b.image.jpeg
tapatalk_1543645623984.jpeg
 
Viongozi wetu kuna somo kubwa sna wanatakiwa kusoma kupitia kifo cha Bush mkubwa mie binafsi kifo hiki kimenirudisha mpk tarehe 7 mwenzi 4 mwaka 1972 Zanzibar japo Sababu za kifo zipo tofauti lkn matokeo yote ni Sawa nmejaribu kucheck marekani kwenyewe wazazi wengi waliopoteza watt wao kwenye vita ya Iraq wakifurahia kifo hiki uko Iraq kwenye ndio usiseme leo kwao imekuwa km sikukuu ya Iddy hiyo furaha yke mtaani sio jambo dogo binadam kufurahi kifo cha Binadam mwenzie aliyakuwa anajua na yy ipo siku atafariki mwisho kbs naomba niweke maneno ya muandishi Ahmed Rajab...
Magharibi ya Aprili 7, 1972 ilipothibitika kwamba Sheikh Karume aliuawa, kuna bibi mmoja kizee aliyetoka nje ya nyumba bila ya kujistiri sawasawa. Alikuwa akirukaruka nje akishangilia mauaji ya Karume. Bibi huyo akiitwa Mashavu binti Hassan. Alikuwa mamake Hanga.View attachment 952111View attachment 952112View attachment 952113
hatujafunzwa kufurahia kifo cha mtu.......
 
Hata hao wanaofurahia leo nao watakufa na wengine watafurahia vifo vyao.Kiongozi hata aweje atapendwa atachukiwa na mwisho wa siku sote tutakufa tu so acha watu watimize wajibu wao wawapo viongozi.
 
Kuna kutimiza wajibu wao na kuna kutimiza ushenzi wao pia...
 
Viongozi wetu kuna somo kubwa sna wanatakiwa kusoma kupitia kifo cha Bush mkubwa mie binafsi kifo hiki kimenirudisha mpk tarehe 7 mwenzi 4 mwaka 1972 Zanzibar japo Sababu za kifo zipo tofauti lkn matokeo yote ni Sawa nmejaribu kucheck marekani kwenyewe wazazi wengi waliopoteza watt wao kwenye vita ya Iraq wakifurahia kifo hiki uko Iraq kwenye ndio usiseme leo kwao imekuwa km sikukuu ya Iddy hiyo furaha yke mtaani sio jambo dogo binadam kufurahi kifo cha Binadam mwenzie aliyakuwa anajua na yy ipo siku atafariki mwisho kbs naomba niweke maneno ya muandishi Ahmed Rajab...
Magharibi ya Aprili 7, 1972 ilipothibitika kwamba Sheikh Karume aliuawa, kuna bibi mmoja kizee aliyetoka nje ya nyumba bila ya kujistiri sawasawa. Alikuwa akirukaruka nje akishangilia mauaji ya Karume. Bibi huyo akiitwa Mashavu binti Hassan. Alikuwa mamake Hanga.View attachment 952111View attachment 952112View attachment 952113
Sijui ulikusudia kuandika nini juu ya huyu marehemu,Ila ngoja nijipumzishe shibe ya kande ipungue nitarudi niweze kuelewa.
 
Kupitia kifo chake sehemu kubwa duniani imekuwa furaha badala ya udhuni. nafikiria nikupe jibu mapema kabla ya shibe yko ya makande aijaisha
 
Ujinga tu kushangilia kifo cha mwenzako huyo bibi naye alikuwa type za malaya wa zamani waliowauzia uchi wakoloni,ushangilie mtu kufa ukiwa uchi!!!?
 
Matusi ya nn kaka. Huyo alikuwa mama yke na Sheikh Abdullah kassim Hanga unajua alifanywa nn na utawala huo jaribu kuweka maneno ya akiba
 
Viongozi wetu kuna somo kubwa sna wanatakiwa kusoma kupitia kifo cha Bush mkubwa mie binafsi kifo hiki kimenirudisha mpk tarehe 7 mwenzi 4 mwaka 1972 Zanzibar japo Sababu za kifo zipo tofauti lkn matokeo yote ni Sawa nmejaribu kucheck marekani kwenyewe wazazi wengi waliopoteza watt wao kwenye vita ya Iraq wakifurahia kifo hiki uko Iraq kwenye ndio usiseme leo kwao imekuwa km sikukuu ya Iddy hiyo furaha yke mtaani sio jambo dogo binadam kufurahi kifo cha Binadam mwenzie aliyakuwa anajua na yy ipo siku atafariki mwisho kbs naomba niweke maneno ya muandishi Ahmed Rajab...
Magharibi ya Aprili 7, 1972 ilipothibitika kwamba Sheikh Karume aliuawa, kuna bibi mmoja kizee aliyetoka nje ya nyumba bila ya kujistiri sawasawa. Alikuwa akirukaruka nje akishangilia mauaji ya Karume. Bibi huyo akiitwa Mashavu binti Hassan. Alikuwa mamake Hanga.View attachment 952111View attachment 952112View attachment 952113
Umri aliokuwa na Bush miaka takribani 94 ni mingi na ujue Rais yeyote wa Nchi anadamu za watu waliouliwa kwa manufaa ya nchi yake,
 
Hkn damu yenye manufaa ya watu wengine damu yyote ni dhuruma juu watu wengine hv tuchukulie damu ya Libya ni kwa manufaa ya watu wake vp khs drc Congo ni kwa manufaa ya watu wake...
 
Elewa nilichoandika, na uilewe siasa ya dunia. We unazani USA asipozifanya nchi zipigane silaha anazouza na kuingiza pato kubwa la fedha atamuuzia nani? Congo haitaweza kuwa na Amani hadi Wacongoman watakapijitambua wenyewe. Hii dunia falme zilipigana sana karne za zamani na watu walikufa unazani ilikuwa kwajili ya nn?
 
USA kwenye wanafurahi kifo chake sio uko wanapouza silaha tu...
 
Back
Top Bottom