Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

je wajua maldova ni nchi ndogo na maskini sasna lakin wan utajiri wa ubaguzi wa rangi? pitia maelezo ya mwafrika anayokumbana nayo kila siku, "Moldova is a small country geographically situated...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Habarini wakuu. Kuna stori nyingi mtaani na pia kwenye mitandao yakijamii kumuhusu Benard Membe kuwa anakwamisha juhudi za Rais na pia anataka kugombea urais 2020 na hizi habari nasikia...
6 Reactions
57 Replies
11K Views
Wadau natafuta afisa kilimo kwa ajili ya iwekezaji kwenye kilimo cha umwagiliaji awe na uzoefu wa kulima mboga mboga mshahara mzuri na utaongezeka kulingana na utendaji wa kazi Nyumba atapewa na...
0 Reactions
5 Replies
986 Views
Wakuu jamvini, Naomba kuuliza, 1) Madaraka ya Tanroads yamegawanyika kimikoa au kanda (zones), nikitaka kujua mikoa kadhaa inaungana kufanya kanda/zone au kila mkoa unajitegemea? 2)Mfano...
0 Reactions
1 Replies
827 Views
katika hali isiyokuwa ya kawaida zaidi ya ndege 500 walidondoka kutoka angani wakati mitambo ya 5g ilipokuwa ikifanyiwa majaribio huko nchini uholanzi link hii hapa :
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wauza unga kuweni na huruma kwa watanzania wenzetu,yule Dogo Mfaume wa enzi zile za "kazi yangu ya dukani" ndo basi tena sasa hivi kashakua teja....daah vipaji vya ukweli vinazidi kupotea kwa...
1 Reactions
179 Replies
51K Views
Mkuu Wa mkoa Wa Singida Bi. Rehema Nchimbi amefuta likizo zote za watumishi waandamizi kwa muda usiojulikana mpaka pale ujenzi Wa vyumba vya madarasa utakapokamilika Bi.Rehema Nchimbi amefikia...
0 Reactions
50 Replies
6K Views
Wanabodi 2020 twendeni na TL hao wengine wote lao moja tuangalie mtu anayeweza leta ufumbuzi wa matatizo ya nchi maana kunamikataba ya hovyo iliyo sainiwa na zao la CCM leo hii inatughalimu kama...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari za jumapili wakuu wakubwa shikamooni kama heading inavyojieleza hapo juu nina shida ya elfu kumi mwenzenu afu hapa mfukoni nina elfu 2 kwa hyo nimepungukiwa shilingi elfu 8 naomba msaada...
1 Reactions
43 Replies
3K Views
Habari zenu wana JF. Katika pita pita zangu nimegundua kuna baadhi ya vitu umuhimu wake umepotea au thamani yake imeshuka baada ya kuja kwa technology mpya ili hali vitu hivyo ni bora na vinadumu...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
TRAFFIC WA MOSHI WAMECHUKUA TABIA YA KUPIGA PICHA MAGARI YA WATU MBAYA ZAIDI MAGARI HAYO YANAKUWA HAYANA PLATE NUMBER KISHA WANA EDIT SPEED,KWAHIYO WAKIONA GARI LINALO FANANA NA LILE WANASIMAMISHA...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kati ya interview na prestigious platforms duniani ni straight talk Africa ya VOA ya Shaka Ssali. Muone hapo chini Rais ajaye, tegemeo letu la kulikomboa taifa ambalo linadidimia kwa kasi ya...
12 Reactions
90 Replies
13K Views
Utafiti wa hivi majuzi umetoa matokeo ya kushangaza baada ya kubaini kuwa wengi wa watumiaji wa simu za iPhone huwa masikini, huku mabwenyenye wakisemekana kupendelea simu za Huawei. Utafiti huo...
4 Reactions
67 Replies
9K Views
Wakuu, muda mfupi uliopita nimetoka kutoa pesa kwenye mashine ya atm ya nmb. Baada ya kuchukua pesa nikachukua na risiti pia. Kwenye ile risiti niliona kitu ambacho siku za nyuma sikukitilia...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Kwanza ningependa kulishukuru sana jukwaa hili kwani limekuwa msaada mkubwa sana wa kujibu maswali yangu mbalimbali yaliyokuwa yananitatiza. Ndani ya jukwaa hili kuna watu ni wajuzi wa mambo...
3 Reactions
5 Replies
975 Views
Mtabili wa Trump kamtabilia Mkulu wa nchi kwamba afanyiwe maombi kuna jambo kubwa litatokea TZ je, Ni Jambo lipi hilo???????!!!!
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Kwa kweli wa Kenya wamejitahidi sana Hii nairobi university nilikuanga naichukulia poa,kumbe ni bonge la chuo hakuna cha ubabaishaji.Nimetembelea universty of nairobi wiki iliyopita wapo mbali...
1 Reactions
59 Replies
7K Views
Zamani Degree walikuwa wanasoma miaka mingapi??? Kwanini swiswiemu inampa kiki Mh Member HV?
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Waswahili husema kuwa Tabia ni kama ngozi ya mwili huwezi kuibadili,sasa swali langu watu kibao(pamoja na wanaume) hujiapaka Carrolite na kuwa weupe peeeeeeee. Maswali 1) ngozi ya hawa inakuwa...
0 Reactions
1 Replies
980 Views
Habari wana JF, Katika pita pita yangu huku JF nimegundua upepo wa kisiasa unataka kuhamishwa kwa mwana diplomasia B. Membe. Nimetafakari sana mambo yafuatayo: 1. Kwanini Membe? na 2. Kwanini...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…