Maajabu ya watumishi wa Tanzania

Maajabu ya watumishi wa Tanzania

Mwl Philemon

Member
Joined
Nov 29, 2018
Posts
64
Reaction score
70
Hivi sisi watumishi wa umma tupo kwenye daraja gani?
Hata haki zetu hatujui tuko kundi gani?
Anayetuthamini hatumuungi anayetusaliti hatuwezi sisi wa nini?
Acha 25% ifanye kazi tu.
Hatuna maana kabisa.
Hata salary nayo tupeni 50%hatujui kujitetea wala kudai.
Bora nchi ijengwe ila sio sisi tusio jitambua.
 
Umeandika kwa uchungu sana...ni kama umetoka kwenye majadiliano na watumishi wanaounga mkono juhudi.
 
Kweli kabisa.
Unajua siasa inameza utaalamu kwa kuwa wataalamu wenyewe hawaonyeshi thamani yao.
 
Hivi sisi watumishi wa umma tupo kwenye daraja gani?
Hata haki zetu hatujui tuko kundi gani?
Anayetuthamini hatumuungi anayetusaliti hatuwezi sisi wa nini?
Acha 25% ifanye kazi tu.
Hatuna maana kabisa.
Hata salary nayo tupeni 50%hatujui kujitetea wala kudai.
Bora nchi ijengwe ila sio sisi tusio jitambua.

Lianzishe tu mkuu waje nyuma yako sio tu ujasiri wa kulalamika kwenye keyboard
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mishahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.
 
Lianzishe tu mkuu waje nyuma yako sio tu ujasiri wa kulalamika kwenye keyboard
Umoja ni nguvu....hoja yake yeye mwenyewe haitapewa uzito kama wakishikamana na kuwa na sauti moja.
 
Shida hao watumishi ndio vimbelembele kuwanyenyekea watungaji sheria za kuwakandamiza(wanasiasa),acha waisome namba tu,tena ikiwezekana na hiyo 25% ipungue,ni nyingi sana hiyo
 
Ni kweli, na wanaudhi sana...wakipewa mic wanavyosifiaga...utachoka!
 
Hivi sisi watumishi wa umma tupo kwenye daraja gani?
Hata haki zetu hatujui tuko kundi gani?
Anayetuthamini hatumuungi anayetusaliti hatuwezi sisi wa nini?
Acha 25% ifanye kazi tu.
Hatuna maana kabisa.
Hata salary nayo tupeni 50%hatujui kujitetea wala kudai.
Bora nchi ijengwe ila sio sisi tusio jitambua.
Hii ndio Tanzania yetu
 
Wale wa kujenga na pension sasa hali mbaya
Dingi angu amestaff tangu 2016 mpaka leo hajalipwa mafao na Nssf alikuwa anavuta zake embassy sasa anavuta zake nyota tu
 
Sawa mkuu though mlkua wanaa sana,
Pale 821Kj nliwaonesha service kwamba nmeiva had RSM akanpa salute
Ha ha ha eti kuruti upewe salute na Mr RSM acha zako dogo mlikuwa waoga sana wachache sana ndo walikuwa mapuuza wakati wa six week.
 
Ahaaah

Nacheka kama mazuri
GBWA-20181204123957.jpg
 
Nliacha history pale oljoro.....nlikalisha service ka wawil hiv,instead ya kupewa adhabu nkapewa heshima.....kwmba nmeiva

Back
Top Bottom