mutu murefu
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 1,037
- 2,741
Habari wana jamvi.
Nataka kwenda pemba na marafiki zangu likizo ya x mass mwaka huu.. Naulizia wajuvi wa mambo kama kuna meli ambayo inatoka dar kwenda pemba au jinsi ya kufika pemba nafikaje?
Nawasilisha.