Zitto amfuata Prof Shivji: Sanaa ya Ushairi

Random

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2017
Posts
791
Reaction score
744
Zitto amekuja na shairi lake Dec 3, 2018;

Bata bata bataani.
Twenzetu Shambani,
Pia kule Viwandani,
Kisha Twenzetu bataani,
Tule raha na pamba za katani.

Bata bata bataani,
Baada ya Jasho kazini,
Kazi tu matani,
Tunywe na kula koroshoni,
Korosho za mashangazi.

Bata bata bataani. #KaziNaBata
 
Huyo si Zitto, nina uhakika ni Addo Shaibu ndiye aliyetunga hilo kisha Zzk aka post tu! Tunaomfahamu Addo na Seif ndio watu wa karibu na Zzk kwa sasa na ni watu wa mashairi, lugha na wanamaujumuhi..zao la kigoda cha mwalim nyerere..hata sijui kwanini Seif alisoma IT wakati roho yake yote iko kwenye historia, lugha na siasa! Anyway, Kazi Na Bata punda kachoka raha aitaka!
 
#KaziNaBata punda kachoka raha aitaka....!!!
 
Back
Top Bottom