Shikamooni wakubwa zangu wote. Mimi mdogo wenu nipo mzima wa afya nauza tu samaki wa kukaanga hapa Tandale kwa Mtogole. Biashara sio ngumu sana wateja nawapata.
Juzi nilienda kumtembelea...
Nawashauri ccm wabadili rangi zao za njano na kijani ili waanze kupendwa nawashauri watumie blue na nyekundu au blue na nyeupe au blue na njano asanteni fanyeni hivyo mtaniambia kijani na njano...
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana na Ajira), Antony Mavunde amesema kwa siku wasichana 72 wenye umri kati ya miaka 15 hadi 24 wanaambukizwa virusi vya Ukimwi (VVU).
Akizungumza...
Wakuu naomba kufahamu kuhusu hawa watu, Ni watu wa aina gani mana nawaona ni wanume kama ni wanawake. Wanatafauti gani na Gays? Kimomba kidogo kinatutatiza sie wengine.
katika matukuo kadhaa ya fumanizi za kimapenzi hasa wanandoa tumeshuhudia mhanga wa ugoni akiuliwa, kulawitia au kujeruhiwa, je sheria ya nchi mahakamani inampa adhabu gani mgoni? ni adhabu ndogo...
1. Maharage
2. Kisamvu
3. Matembele
4. Mchicha
5. Majani ya Kunde
6. Kabichi
7. Majani ya Maboga
Halafu Swali la nyongeza ni kwanini pia ukienda hayo maeneo tajwa hapo katika Kichwa cha Habari...
Ilipoishia, ni pale ambapo nilikuwa zang juu ya mti takribani lisaa limoja..
Endelea...
Baada ya kugundua kuwa nimeingiliwa na chui, moyo wangu ulilipuka na nikajikuta natetemeka na miguu kushikwa...
Salam,
Ndugu yangu anasumbuliwa na mapepo yanayofanya atapike sana na kuishiwa maji mwilini (Nasema mapepo maana hata vitabu vya dini vimetaja aina za pepo wachafu)
Anaongea lugha za ajabu...
29/08/2017, Ambwene alipiga simu #116 kutoa taarifa kuhusu mtoto Baraka aliyekuwa akiishi na babu yake Mbeya. Ambwene anaishi Tunduma ila alienda kijijini kusalimia ndugu zake ikiwa ni pamoja na...
Hali ya hewa hapa imekuwa ya Joto kali kuliko tulivyozoea,
Hali hiyo imesababisa watalii wengine hapa kutembea huku wamevaa viboksa tu, kwa upande wa Wana wake wa kizungu wanavyovaa kutokana na...
Mimi binafsi sipingi tuhuma zilizotolewa na huyu mama ila nina maswali kadhaa yananipa shida kutokana na namna alivyowakilisha wazo lake kwenye hadhira ya UDSM na watanzania wote kwa ujumla
MOJA...
****Tafakari ya leo******
"WASOMI" NA NDOTO ZA ABUNUASI
Hebu vuta picha,namna ulivyosota kuipata hiyo degree yako. Miaka isiyopungua 16 imeteketea darasani! Umebeba vidumu na ufagio kama wafagiaji...
Ni masikitiko yaliyoje kudhulumu haki za raia/ wananchi wa Kijiji cha Kebweye! Viongozi wa serikali wilayani wanawaonea kwa kuwakamata na kuwaweka mahabusu ili hali wao ndo walishambuliwa na...
Kwa wanaokumbuka miaka ya 80 kulikua na bwana akiitwa Santana. Huyu jamaa alikua mbabe sana akicheza karate. Kutwa nzima akishinda stendi za mabasi sanasana kituo cha manzese (msufini). Akiamua...
Habari wakuu
Leo wakati natoka kazini nikiwa kwenye usafiri wa umma ghafla dereva alisimamishwa na traffic na kumwambia utingo wake ampe tsh.elfu 3 akampe traffic na alifanya hivyo...
Zipo familia wanaoishi pamoja Mama,baba, mabinti wakubwa hadi watoto wadogo ndani ya chumba kimoja.
kwa macho yangu nimewahi shuhudia Mara kadhaa familia za namna hii wakiongozwa na wazigua na...
Nakuandikia kwa taarifa ya jana tar 03 December 2018, asubuhi na mapema nikielekea Dodoma, Nimewakuta askari wako barabarani wakiwa na kamera ya mwendo eneo la msamvu ukitoka daraja la nane nane...
Hivi ndivyo nilivyoona ndotoni usiku wa jana ..
Alipo Mungu ni nuru + moto hakuna binadamu anayeweza kuishi hapo. Yesu ni kama kioo bapa; anapokea nuru inayotoka kwa Mungu; nuru hiyo ndo tunakuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.