Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Mhandisi Mathew Mtigumwe kumsimamisha kazi mtumishi George Mboje na kumuondoa kwenye timu ya Operesheni Korosho...
Kajipanga mitandaoni... Very strategic.... Katumia 'vampires teams'... The rival kawekeza kwenye gazeti moja tu akimtumia mtu mmoja tu ambaye hatoshi... Na backup ya mitandao iliyochoka na...
Mimi ni mojawapo wa Wastaafu anayelipwa Pensheni toka LAPF na HAZINA. Mpaka sasa sijalipwa pensheni yangu ya mwezi Novemba 2018 toka HAZINA. Tunadai haki yetu na siyo fadhila. Tunaomba mtulipe...
Direct to the point!
Kwa siku za karibuni nimekua nikipitia hali flani ya deep imagination
Kuna jambo moja linanisumbuaga sana nalo ni uwepo wa dhana ya nguvu za giza na nuru zilizo na nguvu ya...
kutokana na baadhi ya watu kutokua wasitaarabu wakati wa kula, mababu zetu walitumia njia mbalimbali kuwakomesha walafi.
kuna uchawi wa zongo huu upo sana maeneo ya Tanga, ukifika tanga kama...
Msaada wenu wakuu wa jinsi ya kujitoa kwenye lichama la wafanyakazi.
Kwani tangu niajiriwe halijanisaidia chochote tofauti na kunikata elfu 17 kila mwezi.
Habari wakuu,
Leo mapema mmoja wa rafiki zangu "waliobahatika" kupata ajira za afya serikalini takribani miez mitano iliyopita kanipigia simu.Nilikua bize kidogo nikataka kuipotezea hivi lakini...
Haya majina yanawakilisha spirit zilizomo ndani ya baadhi ya wanasiasa. Mtu akijiita yeye ni Joka au akifananishwa na Joka basi mtu huyo asichukuliwe powa kwani vitabu vitakatifu vinatujuza kuwa...
Juhudi za kisheria za mwanamume wa Uholanzi anayetaka kubadilisha tarehe yake ya kuzaliwa ili kuongeza uwezo wake wa kupata mchumba zimegonga mwamba.
Emile Ratelband mwenye umri wa miaka 69...
Nipo Germany mwaka huu sasa bado mambo nimazito so nilikuwa naomba msada kwa wote waliopo sweden,norway,finland!!namna ya kufika huko,,,,,,,kwenu wakuu
wassalam!!!
maana jama saiv wamekaza sana...
Kundi kubwa la wananchi wakiwamo waumini, wamevamia na kushambulia kwa mawe nyumba ya Mchungaji wa Kanisa la Sauti ya Uzima, Nabii Elia (36) wakimtuhumu kuwa ni mshirikina.
Jina kamili la Nabii...
Baada ya Naibu Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson kuonekana akicheza wimbo Mwanza wa msanii Rayvanny ambao umefungiwa, Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limesema kitendo hicho hakimaanishi kuwa...
Habari wakuu,
Mimi ni mtumiaji wa hiki king'amuzi cha Startimes. Kuna hiki kifurushi kipya kilichoingia sokoni hivi karibuni kinachoitwa 'Nyota', Kiukweli kifurushi hiki kimejali hali ya mtu...
Najua hapa kuna member ambao wameajiriwa na wale ambao bado wanatembea na bahasha kusaka Ajira,
Swali;
Je uliutumiaje(kwa wale wenye ajira ) au utautumiaje(kwa wale wanaosaka ajira) mshahara wako...
Nilibahatika wiki kadhaa nyuma kulazwa moja ya kituo cha polisi kikubwa tu hapa Dar..kiukweli asilimia kubwa niliokutana na watuhumiwa wenzangu walilazwa kituoni sababu ya wanawake kiufupi wapenzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.