Wazolee
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 2,699
- 3,088
Ninapo fikiria uchumi wa viwanda nagundua kuwa VETA ndio ina tukwa misha yani hawajui majukumu yao
VETA mnatakiwa mtengeneze mashine tofauti ili wajasilia mali waje kununua wazalishe bizaa
Kwa mfano mimi ni mjasiliamali nataka nifanye biashara ya kuchonga vijiti vya kuchomea mishikaki ili nikawa uzie wachoma mishikaki
Siwezi kuchonga hivyo vijiti na mikono nitachonga vingapi?
Nahitaji mashine ya kuchonga hivyo vijiti niinunue nitafute malighafi ambayo ni miti
nizalishe nikauze sasa mashine za mnahi VETA ndio wanatakiwa watengeneze kisha wawauzie wajasilia mali
Watanzania vichwa vyetu vimelala sana yani tukiona pamba stick kutoka China na sisi tunataka tutengeneze kama zilivyo
Wakati tunatakiwa kwanza tufikirie kutengeneza mashine itakayo sokata hizo pamba katika stick
Sijui mnanielewa yani ninacho kisema kama kweli tunataka uchumi wa viwanda basi VETA wanatakiwa watengeneze mashine mbali mbali kisha wawaite wajasilia mali wazinunue wakazalishe hizo bizaa
Kwa hiyo VETA msipo kuna vichwa na Serikali isipo wekeza VETA basi uchumi wa viwanda tutausikia katika Bomba
Na kuishia kuchonga viatu vya mataili ya gali kwa mikono na kuuza kariakoo