Mfumo wa Elimu Tanzania ufumuliwe

Mfumo wa Elimu Tanzania ufumuliwe

Dikteta Uchwara

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
204
Reaction score
285
Maana hii imekua shida. Mtu unaelezwa elimu ni ufunguo wa maisha, ila kila ukimaliza kusoma kuna bweg.e anabadili kitasa .
Ngachoooka
 
Yaani Baada Ya Kuharibu ndoto za wengi kielimu ndiyo mnakumbuka sasa ? Mtawafidia nini watanzania waliopoteza muda wao kwa kwenda shule/chuo kujifunza vitu ambavyo hawatavifanya maishani mwao kujiletea maendeleo?
 
Back
Top Bottom