Ni masikitiko yaliyoje kudhulumu haki za raia/ wananchi wa Kijiji cha Kebweye! Viongozi wa serikali wilayani wanawaonea kwa kuwakamata na kuwaweka mahabusu ili hali wao ndo walishambuliwa na...
Kwa wanaokumbuka miaka ya 80 kulikua na bwana akiitwa Santana. Huyu jamaa alikua mbabe sana akicheza karate. Kutwa nzima akishinda stendi za mabasi sanasana kituo cha manzese (msufini). Akiamua...
Habari wakuu
Leo wakati natoka kazini nikiwa kwenye usafiri wa umma ghafla dereva alisimamishwa na traffic na kumwambia utingo wake ampe tsh.elfu 3 akampe traffic na alifanya hivyo...
Zipo familia wanaoishi pamoja Mama,baba, mabinti wakubwa hadi watoto wadogo ndani ya chumba kimoja.
kwa macho yangu nimewahi shuhudia Mara kadhaa familia za namna hii wakiongozwa na wazigua na...
Nakuandikia kwa taarifa ya jana tar 03 December 2018, asubuhi na mapema nikielekea Dodoma, Nimewakuta askari wako barabarani wakiwa na kamera ya mwendo eneo la msamvu ukitoka daraja la nane nane...
Hivi ndivyo nilivyoona ndotoni usiku wa jana ..
Alipo Mungu ni nuru + moto hakuna binadamu anayeweza kuishi hapo. Yesu ni kama kioo bapa; anapokea nuru inayotoka kwa Mungu; nuru hiyo ndo tunakuja...
Binafsi mimi sio mshabiki wa hii kampuni kabisa ingawa baadhi ya matoleo yake ya soda kama fanta niliifurahia kidogo watu walilalamika kuwa haina ladha halisi ya matunda kama ilivyosifiwa lakini...
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Mhandisi Mathew Mtigumwe kumsimamisha kazi mtumishi George Mboje na kumuondoa kwenye timu ya Operesheni Korosho...
Kajipanga mitandaoni... Very strategic.... Katumia 'vampires teams'... The rival kawekeza kwenye gazeti moja tu akimtumia mtu mmoja tu ambaye hatoshi... Na backup ya mitandao iliyochoka na...
Mimi ni mojawapo wa Wastaafu anayelipwa Pensheni toka LAPF na HAZINA. Mpaka sasa sijalipwa pensheni yangu ya mwezi Novemba 2018 toka HAZINA. Tunadai haki yetu na siyo fadhila. Tunaomba mtulipe...
Direct to the point!
Kwa siku za karibuni nimekua nikipitia hali flani ya deep imagination
Kuna jambo moja linanisumbuaga sana nalo ni uwepo wa dhana ya nguvu za giza na nuru zilizo na nguvu ya...
kutokana na baadhi ya watu kutokua wasitaarabu wakati wa kula, mababu zetu walitumia njia mbalimbali kuwakomesha walafi.
kuna uchawi wa zongo huu upo sana maeneo ya Tanga, ukifika tanga kama...
Msaada wenu wakuu wa jinsi ya kujitoa kwenye lichama la wafanyakazi.
Kwani tangu niajiriwe halijanisaidia chochote tofauti na kunikata elfu 17 kila mwezi.
Habari wakuu,
Leo mapema mmoja wa rafiki zangu "waliobahatika" kupata ajira za afya serikalini takribani miez mitano iliyopita kanipigia simu.Nilikua bize kidogo nikataka kuipotezea hivi lakini...
Haya majina yanawakilisha spirit zilizomo ndani ya baadhi ya wanasiasa. Mtu akijiita yeye ni Joka au akifananishwa na Joka basi mtu huyo asichukuliwe powa kwani vitabu vitakatifu vinatujuza kuwa...