Traffic wamepoa barabarani

Traffic wamepoa barabarani

Two dimension array

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2018
Posts
1,591
Reaction score
2,383
Habari wakuu

Leo wakati natoka kazini nikiwa kwenye usafiri wa umma ghafla dereva alisimamishwa na traffic na kumwambia utingo wake ampe tsh.elfu 3 akampe traffic na alifanya hivyo

Chakushangaza dereva baada ya kurudi akaanza kutuadisia tuliokua mbele yake kwamba " dah kidogo sikuizi wamepunguza kabisa kuandikia watu wanachofanya sasa hivi ni kuangalia kama unadaiwa tu basi......hofu yangu ni kwamba hii itakua ni amri kutoka juu atleast kidogo wapunguze joto lililoko mtaani maana.

Ama kweli mambo na vyuma vinaanza kulegea kuelekea 2020.

# kazi na kuku
 
Ni kweli hali ya kupigana vyeti imepungua kwa hapa DAR ila kuanzia dodoma na kuendelea hali bado tete barabarani...
 
Sio kwamba madeni mengi sana road kwenye magari na usikute hayalipiki. Na je ile taarifa yao ya makusanyo ni madeni ama mapato?
 
Sasa wanaangalia kama unadaiwa wkt hawajaandikiwa.
Huyo kaandikiwa mwenzie sio yy
# Twende na Membe
 
Inawezekana issue ya Mafao ya kustaafu imewavuruga wameamua mgomo baridi.....
 
Watu wengi wameacha kutumia magari hivyo mauzo ya mafuta yameshuka kupelekea kodi kupungua pia. Tangu waanze kutumia efd wengi wamekuwa wapole inawezekana kulikuwa na risiti bandia
 
Mimi jana nimelipa gari moja 180,000 huu nizaidi ya unyang’anyi wa kutumia mamlaka
 
ngoja nikaambie waamshe moto 🙂🙂🙂🙂🙂🙂
 
Sio kwamba madeni mengi sana road kwenye magari na usikute hayalipiki. Na je ile taarifa yao ya makusanyo ni madeni ama mapato?
Alafu hapo unaweza kuta una degree, daah tz kama imelaaniwa hivi! Mtu anauliza eti ile taarifa yao ya makusanyo mi madeni ama mapato, wakati kishasema ni makusanyo! Pole kwa kuwa na huo ubongo
 
Alafu hapo unaweza kuta una degree, daah tz kama imelaaniwa hivi! Mtu anauliza eti ile taarifa yao ya makusanyo mi madeni ama mapato, wakati kishasema ni makusanyo! Pole kwa kuwa na huo ubongo
Sikubahatika kwenda shule mkuu, nieleweshe taratibu tu.
 
Back
Top Bottom