Coca-cola kwa nini mmeleta stone tangawizi huku?

cyrax

Senior Member
Mar 12, 2017
105
88
Binafsi mimi sio mshabiki wa hii kampuni kabisa ingawa baadhi ya matoleo yake ya soda kama fanta niliifurahia kidogo watu walilalamika kuwa haina ladha halisi ya matunda kama ilivyosifiwa lakini ilikubalika kidogo na watu waliikunywa nikiwemo mimi.

kutokanana maoni ya wadau hasa watumiaji wa kampuni ya pepsi waliotaka kuona kuwa coca anatimiza kiu ya wateja wake na wao wakiwamo, kampuni hii kubwa na kongwe kuliko zote hapa nchini wametuleta hii soda stone tangawizi wakitegemea mabadiliko makubwa na imani ya wateja wao kwenye soko hata kwa watumiaji wa pepsi mimi nikiwemo ilikuwa hivyo.

Kiukweli haali imebadilika mbuzi kala mkeka sherehe hakuna tena, baada ya kuingiza hii soda kuwa kama brandi ya kampuni na kuifurahia kuwa itasaidia kuimaliza kabisa kampuni ya pepsi soda hii imeanza kuua na soko la soda nyingine chini ya brandi ya coca-cola.
MOJA -imekuwa chungu sana kiasi cha kupita ladha halisi ya tangawizi, watoto na wazee hawawezi kuinywa tena.
MBILI -imekosa kabisa soko mtaani kufikia hata hatua ya walioitengeneza kutamani kutumia brandi ya pepsi ambayo walifurahia ilipovurugiwa soko.
TATU -haijawahi kumuacha salama kila aliyeitumia akicheka hasa wakina mama, wazee, watoto na baadhi ya wababa walioishangilia ilipoingia sokoni.
NNE - Kutokana na sifa ya soda watu wanaogopa kutumia matoleo mengine kama vile sprite, fanta, sperleta, na coca-cola yenyewe kampuni inaweza kufilisika.

Binafsi nawalaumu sana coca-cola kwa kutengeneza kinywaji hiki (stone-tangawizi) bila kufanya tafiti za soko lake na usalama wa soko la soda nyingine pia bila kuangalia nafasi yenu kwenye ushindani wa soko huria na kampuni ya pepsi ambaye ndio mshindani wenu mkubwa.
sifa ya soko huri haipo tena hata kwa kudanganya.

cha kufanya ni kuhakikisha kuwa soda hii haizalishwi tena kiwandani zilizoko stoo mwageni au muuze kwa bei ya bure ingawa nina mashaka na soko lake kwa sasa kisha tangazeni soda nyingine kati ya hizo mlizo nazo kueba jina la brandi.

PEPSI HOYEE!!!
 
mods huu uzi nimeukusudia kabisa kwenye jukwaa la siasa someni tena muurudishe kule athee
 
Ulivyomalizia na Maneno 'Pepsi oyeee' umanikumbusha machungu ya salamu Fulani ivi. Umenifanya niichukie Pepsi vibaya mno! Leo nikipata supu nashushia na coca baridiiiii
 
Umenikumbusha mbali sana.
RIP Banza Stone Mwl wa Walimu!
 
😁😁😁 unaweza kuta umekula shavu la usalesman pepsi kuzunguka na toyo, otherwise kama umeandika kwa mafumbo jua unaharibu brand za watu
 
Ndio pale naanza kuamini kwamba mkurugenzi wa Coco cola inwezekana ni kweli kwamba yeye ni pandikizi kutoka kampuni ya pepsi ili kuua kabisa soko la coca bila wadau kujua.

Cha kushangaza watu wanaisifu inawasha,bila kujali soko kubwa la soda linategemea watoto,wamama na wazee.
 
sikuwa na maana hiyo ndugu hhh style ya treni nyuma panakuwaga mbele na hakuna tofauti hakuna
ni suala la hadhira kuelewa kila mmoja kwa muono wake hyo ndo fasihi
 
i
Ndio pale naanza kuamini kwamba mkurugenzi wa Coco cola inwezekana ni kweli kwamba yeye ni pandikizi kutoka kampuni ya pepsi ili kuua kabisa soko la coca bila wadau kujua.

Cha kushangaza watu wanaisifu inawasha,bila kujali soko kubwa la soda linategemea watoto,wamama na wazee.
ile ilitokeaga tu baaada ya kujikuta wanataka kuchukua soko lote bt hadi kwao wenyewe hainyweki saiv hh
 
Back
Top Bottom