Muonekano wa Gati mpya Na. 1
Baada ya kukamilika kwa Gati Na. 1 kati ya 7 yanayojengwa katika Bandari ya Dar es Salaam kwa gharama ya bilioni 33.7; ufunguzi unatarajiwa kufanyika wiki ijayo ha...
Kwanza salam ziwafikie huko mliko..
Natumai mnaendelea vema na kazi ya ujenzi wa taifa.
Kutokana na haya yanaondelea kati yenu na wasanii na hivi karibini na kusababisha minong'ono mkionekana...
Nimenunua kiwanja maeneo ya kwa mromboo arusha sasa kiwanja nimekiona nkaridhika nacho na baada ya apo nkaenda kwa mwandishi wa umma nikabadilishana ule mkataba na kukabidhiana pesa sema nimetoa...
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amewataka wanawake na watoto wanaofanyiwa vitendo vya unyanyasaji na ukatili wa kijinsia kuwasilisha malalamiko yao polisi kwa...
Hivi majuzi kule mkoani singida maeneo ya kibaoni barabara ya kuelekea dodoma kuliibuka kikundi cha wahuni wakiwa katika bajaji moja .
Kikundi hiki kilimkuta traffic mmoja kwenye maeneo hayo...
Msemaji wa Polisi, Ahmed Msangi amesema jana kuwa malimbikizo hayo ni yale ya faini zilizokaa siku 7 na zaidi kuanzia Januari hadi Oktoba 2018
Aidha, amesema ajali zimepungua kwa mwaka huu kutoka...
Ni nini kimeisibu benk yetu hii pendwa,
Napenda kutoa angalizo kwa Benki Yetu iliyokuwa pendwa ya CRDB. Benki hii imejijengea mtandoa mpana na hata kwenye faida katika soko la banki nchini...
Baada ya ufafanuzi wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Job Ndugai kwamba sheria iliyopelekwa bungeni mwaka Jana haikuwa na kifungu kilichoonesha kikokotoo bali kilitakiwa...
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imesema inakadiriwa kupoteza zaidi ya Tsh. Milioni 530 ambazo ni sawa na asilimia 45 za makadirio ya mwezi Januari hadi Juni 2018
Naibu Waziri Ujenzi, Mawasiliano...
Dola ni kama mkate wa Boflo. Huumuka na kusinyaa!
Kwa nini dola huumuka? Currency appreciation.
Thamani ya Dollar huweza kupanda dunia nzima.
Hii humaanisha kuwa kama thamani ya dollar ( dollar...
Bei za mafuta ghafi katika soko la Dunia zimekuwa zikiongezeka mwezi hadi mwezi kutoka Dola 75 kwa pipa, mwezi Julai 2018 hadi kufikia Dola 81 kwa pipa, mwezi Oktoba 2018.
Mwenendo wa bei za...
Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Kairuki, kesho, kitafanya kongamano la kwanza la wanataaluma wa chuo hicho (convocation) ambalo litafuatiwa na mahafali ya 16 ya chuo hicho, yatakayofanyika siku ya...
1. Karibia kila mtu anajifanya mjanja wa mjini na anaujua mji vizuri japo wengi wao ni wakuja, wazawa wa vijijini waliokulia maisha ya kulima korosho, viazi na mihogo. 🤣
2. Cha bure jijini Dar es...
Kamata huyu mama akishirikiana na wenzie.
Juzi 10/5/2018 mama alipewa dawa na majirani eti ampe kijana wake ambaye ni mlevi kupindukia kwamba ni dawa ya kumfanya aache kunywa pombe. Masharti ya...
Mfanyabiashara Maarufu jijini Arusha,Kamaljit Hanspaul (58)na wengine watatu wenye uraia wa nje wamefikishwa mahakamani katika mahakama ya hakimu mkazi ,Arusha kwa makosa ya kuajiri na kuajiriwa...
Namna bora ya kusafisha image ya gvt kimataifa ni kutengeneza wakosoaji feki watakaoisema sana serikali lakini wasiguswe waachwe waseemeee weeeee na wala serikali wasijibizane nao hii itafanya...
Wapendwa naomba mwenye nyimbo hizi anisaidie kwani nimezitafuta sana YouTube na kwingineko bila mafanikio. Nyimbo za Nasma Khamisi Kidogo(zote), nyimbo za Khalila Yusuph Tongola na ikibinda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.