Mimi binafsi sijamaliza maombi ya kumuombea Tundu Lissu. Siwezi kuchanganya.
Haaah! Haaah! Haaah! Kuna mtu nlimskia anasema: yeye anampenda ila amemuachia Mungu Kazi ya kumpenda zaidi!Ninaweza kuiombea ile sentensi ya mwisho “ampe adhabu anayo stahili “
Mungu anayemsema ni yupi? Mungu wa kumpiga Lisu risasi?Kwani asipoombewa inakuwaje ?! Yeye atimize wajibu wake kisheria na kikatiba. Pia awe na utu kwa watu wenye mawazo tofauti na yeye. (No body is perfect)
Mungu anayemsema ni yupi? Mungu wa kumpiga Lisu risasi?
Zamani Tanzania ikizikemea nchi zilizonyanyasa raia wake eg Uganda , SA , Rhodesia etc. Na hata ilibidi tushiriki vita vya ukombozi wa nchi hizo. Leo sisi tunanyanyasa watu wetu na hatutaki kuingiliwa [emoji23][emoji1787]. Huku watu hao wakitakiwa wawaombee watesi wao , Kweli nyani haoni la kwake !!Mungu anayemsema ni yupi? Mungu wa kumpiga Lisu risasi?
Halafu wanaojiita viongozi wa dini wamenyamaza kama vile hakuna linaloendelea nyumbani. As long as wanakusanya sadaka kwa waumini, basi! Wapuuzi wakubwa! Nao sijui wanamsalia Mungu yupi, Mungu wa sadaka, washenzi wakubwa!Zamani Tanzania ikizikemea nchi zilizonyanyasa raia wake eg Uganda , SA , Rhodesia etc. Na hata ilibidi tushiriki vita vya ukombozi wa nchi hizo. Leo sisi tunanyanyasa watu wetu na hatutaki kuingiliwa [emoji23][emoji1787]. Huku watu hao wakitakiwa wawaombee watesi wao , Kweli nyani haoni la kwake !!
Hivi babu aspirin ndo membe ...Mimi binafsi sijamaliza maombi ya kumuombea Tundu Lissu. Siwezi kuchanganya.