Ndoto yangu

Ndoto yangu

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,618
Hivi ndivyo nilivyoona ndotoni usiku wa jana ..
Alipo Mungu ni nuru + moto hakuna binadamu anayeweza kuishi hapo. Yesu ni kama kioo bapa; anapokea nuru inayotoka kwa Mungu; nuru hiyo ndo tunakuja kuiona sisi watakatifu ili ituongoze kwenye maisha yetu ya kila siku hapa duniani. Hivyo kila sehemu ya dunia nuru ya Yesu Kristo inafika.

Viumbe wasio watiifu kwa Mungu wao wanapata mionzi moja kwa moja ambayo haijachujwa na Kristo Yesu; wanaungua na ndo maana wakishaungua wanashuka huku duniani kuanza kuwasumbua wanadamu.

Wakatae hao viumbe wasikuendeshe; pokea roho mtakatifu sasa akuongoze kwenye maisha yako. Usikubali kuamini yale mapicha yanayooneshwa eti ndo picha ya Yesu - hakuna. Yesu ni nuru! Chunguza sana huo mchoro, nalikuwa ndotoni nikaoneshwa na nikaambiwa nikufikishie ujumbe huu.

Habari ya kwenda mbinguni ni ndoto tu! Nawasilisha.
Mt.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom