Political games .. Mango man at least for now

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,070
Kajipanga mitandaoni... Very strategic.... Katumia 'vampires teams'... The rival kawekeza kwenye gazeti moja tu akimtumia mtu mmoja tu ambaye hatoshi... Na backup ya mitandao iliyochoka na kuishiwa hoja....
Membe has done his part... Successfully... I can bet very successful.... Ameteka mitandao ya kijamii.. Anaongelewa yeye tu kwa mazuri, kwa mabaya... Kwa kusifiwa.... Nk.. Lakini yuko live.. On air....,!!!
The old man is gaining grounds... He is making it.... Very strategic but also an opportunist... But just don't care...
Furaha yake ameiteka hadhira, kamzidi ujanja na maarifa... Kafanikiwa kutengeneza mgogoro wa kufikirika kichama, ambao ni gumzo kimataifa... Kwa gharama ndogo mno....
Here he goes... Hadhira inamuunga mkono japo hatoshi... Mjanja aliyesoma alama za nyakati
 
.
IMG-20181204-WA0154.jpeg
 
2020 BM for presidency.
 
Membe hawezi kuwa rais wa Tanzania, mtu aliyopo sasa ni mwenye sifa, majivuno, na asiependa maendeleo ya waliokuwa wakimpa kauzibe! Yaendelee karibu wote sasa anawaleta magotini mwake!
 
Nadhani wanaotaka kumpinga mkulu watafute chama kingine. Kwa namna ya nguvu kubwa inavyotumika kuzuia upinzani wa ndani ya nyumba ni bora wakajitoa.

Ccm wamelianzisha mapema ili ku "minimize risk" kabla ya tarehe za lala salama.
 
Kajipanga mitandaoni... Very strategic.... Katumia 'vampires teams'... The rival kawekeza kwenye gazeti moja tu akimtumia mtu mmoja tu ambaye hatoshi... Na backup ya mitandao iliyochoka na kuishiwa hoja....
Membe has done his part... Successfully... I can bet very successful.... Ameteka mitandao ya kijamii.. Anaongelewa yeye tu kwa mazuri, kwa mabaya... Kwa kusifiwa.... Nk.. Lakini yuko live.. On air....,!!!
The old man is gaining grounds... He is making it.... Very strategic but also an opportunist... But just don't care...
Furaha yake ameiteka hadhira, kamzidi ujanja na maarifa... Kafanikiwa kutengeneza mgogoro wa kufikirika kichama, ambao ni gumzo kimataifa... Kwa gharama ndogo mno....
Here he goes... Hadhira inamuunga mkono japo hatoshi... Mjanja aliyesoma alama za nyakati

ukiona watu wana kuchokonoa sana ujue wanakuza jina lako
 
Back
Top Bottom