Nimenunua Umeme kwa njia ya Simu, Nimekosea Namba ya mita na kujikuta nimenunua umeme kwa mita tofauti,
Nimepiga simu ya huduma kwa ateja nikaambiwa niende ofisi ya Tanesco, Nafika ofisi...
Jambo hili wengi wetu hatulijui, nyumba nyingi Sana za kulala wageni maarufu Kama Guest House si salama, nyingi zimezingirwa na kuwekewa maagano ya nguvu za giza ili wamiliki wajipatie pesa Kwa...
Yaani jamaa kachambua vizuri na kawavuruga wazee wa tucta ambapo mwisho wa siku wamejikuta hawana cha kuongea.
Hawa watu wenye akili kubwa ndio wanapaswa kupewa teuzi za kiongozi.
Mh .rais...
Kuoa au kuolewa haraka na bahati nzuri ukapata mtoto kwa age hii ndogo kuna faida kuliko kuchelewa.
Maisha ya leo Life Expctance imekua tofauti na zamani hivyo unaweza pata mtoto ukiwa na Age ya...
Heshima kwenu wakuu!
Nimepoteza kitambulisho cha taifa,na nimesharipoti polisi,ofisi ya NIDA hapa mkoani,na nimeshaenda benki kulipia 20k kwa ajili ya kupata kitambulisho kipya.
Swali Je...
Wapendwa salamu.
Kwa hesabu za ubaoni uchaguzi wa mwaka 2015 kura milioni 6 zilienda UKAWA.
Hoja yangu ni kwamba;
mwaka 2020 tunafanya uchaguzi wa kumpata kiongozi wa nchi na viongozi wengine...
Wakuu Habari zenu, niingie kwenye mada moja kwa moja
Kuna mzungu moja nilikuwa namuuliza hivi mbona kwenye mpira wa miguu mashabiki wanapenda kuwatupia ndizi wachezaji wa mpira wenye asili ya...
Kila baada ya hatua 5 kiduka cha mangi..kila mtaa kila kona.
Hii tafsiri yake uchumi umekua kwa kasi ama?pia wanauza had konyagi ya kupima..glass jero.
Tai ni ndege pekee mwenye uwezo wa kuishi miaka 70. Lakini kabla ya kufika umri huo lazima afanye maamuzi magumu,
yanayomuumiza na kumchukua muda mrefu. Akifikia umri wa miaka 40, makucha yake...
Watu wengi wenye tamaa ya maendeleo ufika mahali wakashindwa kuyapata maendeleo kwa sababu tamaa siku zote haitoi nafasi ya kupata ushauri na maelekezo sahihi. Tamaa Mara nyingi ni msukumo wa...
Nakumbuka mbunge wetu wa hapa Morogoro na gari lake lile la kuzikia... Abood. Ni jambo zuri lakini tungejikita zaidi kwenye huduma za afya, hapajawahi kutokea mtu kukosa kuzikwa kisa tu hakuna...
Kwenye maisha Huwezi fika mwisho wa safari yako Kama utakuwa unasimama kila mahali kumtupia jiwe kila mbwa anayekubwekea. Wewe Endelea Kusonga mbele Na Safari Yako tu...
Waajiriwa serekali maskini kuliko sisi tuliojiajiri,kwenye ofisi zao ukifika nyodo kibao na uniform zao ila maskini balaa,
Waajiriwa wa serikali hawana hela kuliko sisi tunaojiajiri,hata tajiri...
Leo katika kuperuzi channeli za kibongo nimeshtuka sana kwa jinsi tbc1 walivyo na HD ya nguvu cjui huu mchakato umeanza lini lkn wamejitahidi sana. nb mbolesheni vipindi ili kuwe na ushindani na...
Wakuu
Hii naweza kuita kioja kinachotokana na maisha ya ulevi na wanya pombe wote
Si kila siku sie wanaadam tuko vizuri kipesa, muda mwingine utahitaji msaada chakula cha 3000 tu na ukakosa...
Hebu fikiria kama Jumia, Amazon na Kikuu wasingeweka bei ya vitu vyao halafu ukiwaomba bei waseme "tutumie email" usumbufu gani huu?? Sijui wafanyabiashara waTz wanakwama wapi aisee... wiki 2 sasa...
Jana kwa mara ya kwanza nimepita Tazara junction wakati flyover imekamilika. Kusema ukweli im impressed. Flyover ile ukiiona kwa macho ni tofauti na picha mitandaoni, iko vizuri sana.
Kingine...