TBC ipi unazungumzia?
Si ameshakuwa mkubwa sasa ,basi aachwe ashindane na wengine kwa kuvifungulia vingamuzi vyao.
Mimi kilichonishangaza ni kipindi cha TCRA baada ya taarifa ya habari Leo....
Haloooo nimecheka Sana walah picha zao.
Yaani camera inaonesha mtu anaongea kamera inamkata kichwa. .mauzauza
hahahaha kweli lknTBC kaondoka nayo Mpiga dili Tido Mhando
Mara nyingi Taasisi hufanya vyema zinapoongozwa Na watu wanaotuhumiwa Kwa ubadhirifu bila ya kujali ukweli Au uongo wa Tuhuma hizo
1) Jakaya Kikwete- Tanzania
2) Dr Dau- NSSF
3) Nehemiah Mchechu-NHC
4) Dkt Charles Kimei- CRDB
Utakuwa umetumwa siyo bure!
chogo mkuu nimeshangaa leo lina ng'aa balaaHaaaahaaaaaa.Unatumia chogo nini wewe?.HD na TBC wapi na wapi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo yule dem na Gabriel zakaria wamekuwa na rangi ta fanta pasheni[emoji23][emoji23][emoji23]
Bora niangalie Bollywood kuliko tibisii tv
Utakuwa umetumwa siyo bure!