Kuoa au kuolewa haraka

Jumanne Mwita

JF-Expert Member
Nov 18, 2014
424
1,044
Kuoa au kuolewa haraka na bahati nzuri ukapata mtoto kwa age hii ndogo kuna faida kuliko kuchelewa.

Maisha ya leo Life Expctance imekua tofauti na zamani hivyo unaweza pata mtoto ukiwa na Age ya 30 Life la leo lenyewe ukiishi sana 57.
miaka 17 kwa malezi ya mwanao hayatoshi.

ila tuzingatie vipaumbele muhimu maana kuna watu wataelewa tofauti hapa
 
Mwenzako juzi huko Morogoro maisha yamempiga p*Mbv akaenda kuwapa wanae watatu sumu ili akwepe majukumu.

We mtoto miaka 22 una watoto watatu unakimbilia wapi?
 
Kuoa au kuolewa haraka na bahati nzuri ukapata mtoto kwa age hii ndogo kuna faida kuliko kuchelewa.

Maisha ya leo Life Expctance imekua tofauti na zamani hivyo unaweza pata mtoto ukiwa na Age ya 30 Life la leo lenyewe ukiishi sana 57.
miaka 17 kwa malezi ya mwanao hayatoshi.

ila tuzingatie vipaumbele muhimu maana kuna watu wataelewa tofauti hapa
57 kutoa 30 ni 27 mkuu sio 17. Hiyo 27 kama hajajua tu kujitegemea basi apambane tu na hali yake
 
Kuoa au kuolewa haraka na bahati nzuri ukapata mtoto kwa age hii ndogo kuna faida kuliko kuchelewa.

Maisha ya leo Life Expctance imekua tofauti na zamani hivyo unaweza pata mtoto ukiwa na Age ya 30 Life la leo lenyewe ukiishi sana 57.
miaka 17 kwa malezi ya mwanao hayatoshi.

ila tuzingatie vipaumbele muhimu maana kuna watu wataelewa tofauti hapa
Faida za kuwahi kuoa na kuzaa ni nyingi na Credible /dhahili kuliko faida za kuchelewa kuoa au kuzaa ambazo nyingi ni Probability
 
Kuwahi kuoa au kuolewa ni tabia za jamii masikini.
Naweza kuamini , pana kiasi fulani cha ukweli, Naomba ni kuulize , wewe jamii yako ni ipi ? ya kitajiri/kifahari au kimasikini ? kama ww ni mTZ na unaishi TZ na familia yako hata kama wewe ni tajiri/ msomi/fahari bado uko kwenye jamii maskini RISK za maisha yenu bado ni zile zile.

Mwisho nakushauri uwahi kuoa na kuzaa BORA SANA kuliko kuchelewa
 
Kuoa au kuolewa haraka na bahati nzuri ukapata mtoto kwa age hii ndogo kuna faida kuliko kuchelewa.

Maisha ya leo Life Expctance imekua tofauti na zamani hivyo unaweza pata mtoto ukiwa na Age ya 30 Life la leo lenyewe ukiishi sana 57.
miaka 17 kwa malezi ya mwanao hayatoshi.

ila tuzingatie vipaumbele muhimu maana kuna watu wataelewa tofauti hapa
shida si kuwahi ama kuchelewa kuoa shida ni PESA.

Unaweza kuwahi kuoa still watoto wakaishi maisha ya hovyo kabisa hata shule za maana ukashidwa kuwapeleka

Tafuta pesa hata ukifa watoto unawaacha pazuri.
 
Naweza kuamini , pana kiasi fulani cha ukweli, Naomba ni kuulize , wewe jamii yako ni ipi ? ya kitajiri/kifahari au kimasikini ? kama ww ni mTZ na unaishi TZ na familia yako hata kama wewe ni tajiri/ msomi/fahari bado uko kwenye jamii maskini RISK za maisha yenu bado ni zile zile.

Mwisho nakushauri uwahi kuoa na kuzaa BORA SANA kuliko kuchelewa

Naungana na FUSO hapo shida sio kuwahi kuzaa/kuoa shida ni umasikini.

Assume Reginald Mengi wale mapacha ndio wawe watoto wake wa kwanza na Kyline ndio Mke wake wa kwanza.(nimesema Assume)
 
Unadhani kuna MTU hataki kuoa au kuolewa?? Yaan kutafuta demu ni kazi rahisi sana ila mke ni ngumu Sana usidanganywe na mpumbavu yeyote asiye na ndoa kwa neno kujipanga, hupenda kusema tu ila wamekosa wake, yaan ukipata mdada ukamwambia nikuoe akubali na hana tatizo basi wewe uko perfect, ila vijana wengi hamko perfect kuanzia appearance had performance ndio maana mnapata mademu wake hampati,

NB. Uchumi sio tatizo kwenye ndoa, tatizo ni tabia.
 
Ukweli usio na chembe ya MASHAKA
 
Back
Top Bottom