Kipima joto ITV: mchambuzi aliyevaa nguo nyeusi kafunga mjadala wa kikokotoo.

Nyankuru Wankuru

JF-Expert Member
Apr 22, 2018
1,199
2,000
Yaani jamaa kachambua vizuri na kawavuruga wazee wa tucta ambapo mwisho wa siku wamejikuta hawana cha kuongea.

Hawa watu wenye akili kubwa ndio wanapaswa kupewa teuzi za kiongozi.

Mh .rais mtazame mchambuzi huyu kwa jicho la tatu kama anafaa kuwa mmoja wa wasaidizi wako
 
Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
24,077

Kuongea Na kutenda Ni vitu viwili tofauti

Dr. Bashiru Yule wa Kwenye Mijadala ndio Huyu anaeharibu Chama chetu adheem Cha Mapinduzi?
 
Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
27,379

Kwa Mara ya kwanza nakuunga mkonyo. Vipi lakini unamuonaje membe anafaa au
 
chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,661
2,000
Yaani jamaa kachambua vizuri na kawavuruga wazee wa tucta ambapo mwisho wa siku wamejikuta hawana cha kuongea.

Hawa watu wenye akili kubwa ndio wanapaswa kupewa teuzi za kiongozi.

Mh .rais mtazame mchambuzi huyu kwa jicho la tatu kama anafaa kuwa mmoja wa wasaidizi wako
Huyo katibu wa TUCTA hopeless kabisa eti anasema tunawaandaa watumishi kustaafu since day one wanapoajiriwa ...wtf
 
Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
27,379
2,000
Kuna kile chuo majuzi mhadhiri wake amesema kinatoa digrii za chupi,nasikia katibu alikua mwl pale?
Kile chuo ambacho kila kukicha lazima Mkubwa akachote watu pale kuja kuwapa vyeo? Kama ndio hicho si tabia hii itahamia kwenye taasisi walizopelekwa?

Wale waliovua Chupi wakapita "Supp" that time now watavua chupi kwa walewale ili waajiriwe.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom