ccm hii mmmh

ccm hii mmmh

hugo jr

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
504
Reaction score
1,647
unaletewa barua kama hii, usipotoa mapene zinaanza fitina
 
IMG_20181001_113807.jpg
 
Hahahaha usipochangia lazima uletewe figisu kwenye mishe zako
 
Kwani wanakuletea hata kama sio mwanachama?
mi sijawahi kuwa mwanachama wa ccm hata kufikiria sijawahi, wakiona unafanya biashara wanakuletea watu wengi wamepewa sasa jana walikua wanapita kudai michango nikawaambia sina hata mia, mzee mmoja akaniita akaniambia niwape msimbaz eti nisipo toa wanaweza niletea fitina, nikagoma maana bora hiyo pesa nichambie kuliko kuwapa hawa watu
 
Hahahaha kwakwel
 
hiyo pesa bora unipe mm nikanywee gongo kwa ma mushi
 
Back
Top Bottom