ARCHBISHOP
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 271
- 488
Wanaingilia flow nzuri ya magari kutoka Ubungo na Port.
Wanashanga jinsi magari yanavyopita juu ya darajaWanaingilia flow nzuri ya magari kutoka Ubungo na Port.
Noma, kuna wakati sijui wanamiss kuongoza gari?Wanashanga jinsi magari yanavyopita juu ya daraja
Taa ni sahihi kama unatoka Ubungo kwenda Ukonga, na kuna mtu anatoka Ukonga kwenda Port si mtagongana?Ile flyover haijaweza kukata kiu cha foleni ya pale tazara, mm binafsi nilitegemea kutokuwepo taa za kuongozea magari.
Mfano rahisi kwako, ulishawahi kupita daraja la kigamboni?Taa ni sahihi kama unatoka Ubungo kwenda Ukonga, na kuna mtu anatoka Ukonga kwenda Port si mtagongana?
Ile siyo fly over ni daraja la juu halitoshelezi magari kwenda bila kuongozwa na taa au traffic. Kwa upande wa chini lazima kuwe na shida kwakuwa ukiwa kushoto ukitaka kwenda kulia au kulia kwenda kushoto lazima uongozwe na taa au traffic. Halijafikia hadhi ya kuachwa peke yake lileWanaingilia flow nzuri ya magari kutoka Ubungo na Port.
Wanaingilia flow nzuri ya magari kutoka Ubungo na Port.
Ngoja waje wenye nalo watatupa jibuHivi Hilo Jina Mfugale Wamelitoa Wapi? Na Lina Maana Gani?
Waacheni wapunge upepo bhanaa, kule juu kuna raha yakeWanaingilia flow nzuri ya magari kutoka Ubungo na Port.
Ile ni mahsusi kwa wasafiri wanaotokea kwenye Mahotel city center kuelekea AirportIle flyover haijaweza kukata kiu cha foleni ya pale tazara, mm binafsi nilitegemea kutokuwepo taa za kuongozea magari.
Ni jina la mhandisi wa Tanroads aliesimamia huo mradi.Hivi Hilo Jina Mfugale Wamelitoa Wapi? Na Lina Maana Gani?
Hiyo ndio shortfall ya daraja. Taa ni lazima ziwepo. Ingekuwa interchange kusingekuwa na haja ya taa. Tuombe Ubungo/Sam Nujoma iwe interchange.Taa ni sahihi kama unatoka Ubungo kwenda Ukonga, na kuna mtu anatoka Ukonga kwenda Port si mtagongana?
Kama ni hivyo, sawaIle ni mahsusi kwa wasafiri wanaotokea kwenye Mahotel city center kuelekea Airport
Mfano rahisi kwako, ulishawahi kupita daraja la kigamboni?
Kama ndiyo, unielekeze taa zilipo
Hivi Hilo Jina Mfugale Wamelitoa Wapi? Na Lina Maana Gani?