Ladder 49
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 8,074
- 20,336
Wakuu Habari zenu, niingie kwenye mada moja kwa moja
Kuna mzungu moja nilikuwa namuuliza hivi mbona kwenye mpira wa miguu mashabiki wanapenda kuwatupia ndizi wachezaji wa mpira wenye asili ya kiAfrica.
Akaniambia waonapenda sana kuangalia mpira kule ni watu ambao uneducated na wahuni watu wasio jielewa siku kama ac milan anacheza mara nyingi hawatoki nje kwasababu kunakuwaga na fujo sana .
Stori hiyo hapo juu naifananisha na watu wa comments za mtandao wa instagram.
Waandika comments wengi wa instagram ni jobless changamshagenge siku ziende,wahuni na uneducated people watu ambao awajui future yao baadae itakuwaje.
Fatilia kwa makini rafiki zako ambao educated na waajiriwa wanaofanya kazi zinazoeleweka na wanao jielewa huwezi kuwakuta kila post ya millardayo au mtu maarufu analike au kucomment, wanalike hata kama umesema unaumwa unakalibia kufa yaani ulikuwa unapumulia mashine na wanaongezea kwenye comments wanaandika “nice” ,Wengi labda wanakuwa wasomaji tu na wanajua kinaendelea nini.
Marafiki zangu wengi ambao ni educated na wanaojielewa ,wameanza kutumia instagram kuanzia smartphone zimeingia Tz na instagram imeanza .
Sija wahi kuona comments zao kwenye instagram hovyo hovyo. Ukiwa wa dm unapiganao story vizuri unaeza sema jamaa hawapo instagram kumbe wapo.
Ni hayo tu wakuu .